yassird200
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 901
- 1,568
inawezekanaje nikose kufurahi ? . Wakuu habari! Nimekuwa nikupiti wakati mgumu baada ya kulazimika kufata protocol za familia! wazazi na ndugu zangu wamenisema sana nikaamua kuachana na mshangazi wangu ni mwezi sasa.. Hapo nyuma nlkuwa na gf lkn aliniacha sababu ni huu mum ama wangu! Nipo for awhile. Nachosangaa sio hivi mnavyo wasemaga hawa jamaa wafupi mbona hiku kwenye pichi ya under 30 ndo washindi?. Ndugu zangu nastrugle sana huku chini nahitaji kutenga mda wakubembeleza tena sio kubembelezwa tena.Nawezaje kufurahia haya maisha tena! huku kila mwanamke anataka umbembeleze sana umpe mda na pesa bado tu Huna uhakika wakuwa mwenyewe. Napitia wakati mgumu sana sifurahii maisha yangu kwa sasa au NAHITAJi MWANA SAIKLOJIA? Mimi siwezi kuprovide vyote hivyo na hisi kuumwa kabisa.