Ila kupitia utandawazi mtu ni rahisi kudanganya maisha yake halisi na kupelekea kupata kile usichokitarajia.hakuna limitation ya kutafuta mchumba, popote unaweza tafuta mkuu...
kuna watu wanafurahia uwepo wa social network coz wamepata wachumba na maisha yanaenda
Ila kupitia utandawazi mtu ni rahisi kudanganya maisha yake halisi na kupelekea kupata kile usichokitarajia.Mkuu hii ndo maana halisi ya kuwepo kwa utandawazi. Kwa developed countries MTU hana mda wa kutafta mchumba mtaani kulingana na ubize wa mambo yake, kikubwa anaweka criteria zake wenye sifa wanajitokeza tena ni kwa jinsia zote.
Lakini ktk developing countries kama hapa kwetu inaonekana ni jambo la ajabu, tunashindwa kucopy speed ya dunia na maendeleo yake.
Siyo kijiji ni kama familyMambo ya utandawazi hayo saivi dunia ni kama kijiji
Kwa hiyo ulitaka waeleze vipi hisia zao labda?