Misunderstood
JF-Expert Member
- Aug 4, 2020
- 392
- 896
Tuambie kwanza wewe ni Ke au Me
Huna mambo mengine ya msingi ya kufanya ndio maana.
inaweza ikawa anamishe za msingi kuliko wewe negativityHuna mambo mengine ya msingi ya kufanya ndio maana.
Atafute kazi ya kufanya aache ujingaHuna mambo mengine ya msingi ya kufanya ndio maana.
Sasa naomba sana kwa wale waliowahi kupitia extreme pain and heart breaks kutokana na mahusiano kuvunjika tafadhali waniambie experience yao! Je walifika muda hayo maumivu kuisha kabisa? Hata walioko kwenye ndoa haijawahi kuwaathiri? Ilichukua muda gani hiyo hali kuisha kabisa? Iliisha baada ya kufanya nini?
NB: ilishindikana kureconcile kabisa, ilikuweka mambo sawa.
Natanguliza shukrani zangu! Asante.
Nimewahi kupitia unayopitia na ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kuijua JF kwasababu katika kugoogle namna ya kusahau mtu nikaletwa huku JF
Nilikuwa natamani kulia lakini machozi hayaji
Appetite ikapotea
Nikapiga hata simu nyumbani kuomba kughairisha mwaka manake nilijiona hata darasani hakieleweki
Nikaweka uzi humu wa kuomba msaada wa namna ya kumsahau ambapo kimsingi nilipata mawazo kadhaa ambayo yalinisaidia kiasi chake
Kimsingi kilichonisaidia kupotezea ni baada ya kuweka mbele mambo ya msingi zaidi katika maisha yangu,nikaanza kutumia muda wangu mwingi kusoma sana kwasababu ndio kilinipeleka kule
Nikaanza kufikiria mtu nayempenda zaidi katika hii dunia ambaye ni baba yangu,nikaanza kuwasiliana nae sanaaaaaa
Nikaanza kwenda kanisani siku za jumapili na jumamosi kufanya usafi
Jitahidi kuwa busy na mambo yako,hayo unayopitia sasa hayatakuwa hivyo milele....pole,pambana
Naomba link ya huo uzi Mkuu
Haupo
Kuna mambo yalitokea nikaomba ufutwe
Okay pole sana ya by then
Unamfahamu? Au umejisikia tu kuwa atakuwa hana mishe!!!Huna mambo mengine ya msingi ya kufanya ndio maana.
Nimewahi kupitia unayopitia na ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kuijua JF kwasababu katika kugoogle namna ya kusahau mtu nikaletwa huku JF
Nilikuwa natamani kulia lakini machozi hayaji
Appetite ikapotea
Nikapiga hata simu nyumbani kuomba kughairisha mwaka manake nilijiona hata darasani hakieleweki
Nikaweka uzi humu wa kuomba msaada wa namna ya kumsahau ambapo kimsingi nilipata mawazo kadhaa ambayo yalinisaidia kiasi chake
Kimsingi kilichonisaidia kupotezea ni baada ya kuweka mbele mambo ya msingi zaidi katika maisha yangu,nikaanza kutumia muda wangu mwingi kusoma sana kwasababu ndio kilinipeleka kule
Nikaanza kufikiria mtu nayempenda zaidi katika hii dunia ambaye ni baba yangu,nikaanza kuwasiliana nae sanaaaaaa
Nikaanza kwenda kanisani siku za jumapili na jumamosi kufanya usafi
Jitahidi kuwa busy na mambo yako,hayo unayopitia sasa hayatakuwa hivyo milele....pole,pambana
Asante recycle BinPole joanah ila kumsahau/kumtoa moyoni mtu ambae uliuminisha moyo kuwa anao umuhimu sana sio kazi rahisi. Kusema kwa mdomo huwa ni rahisi sana ila kazi huja kwenye utendaji nadhani tuliowahi kupitia hii hali tunaelewa, nakumbuka ilinichukua mda sana kuwa sawa lakini imenisaidia pia kwa mahusiano yangu baada ya hapo nimekuwa mwepesi wa kukubaliana na hali pindi ikitokea kuachwa/kuachana na mtu.
Asante recycle Bin
Ni kazi ngumu kweli lakini ikifika muda mambo yameharibika hakuna namna zaidi ya kupambana umsahau
Maisha lazima yaendelee