MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Miongoni mwa majanga makubwa africa ni uhaba wa maji. Jiji kubwa kama dar es salaam tatizo kubwa ni Maji safi huku limezungukwa na mabilioni ya lita za maji ya bahari.
Africa kusini na nchi zilizoendelea bahari inatazamwa kwa jicho la tatu. Kwa process inaitwa DESALINATION, chumvi inatolewa na unapata maji safi sio tu kwa matumizi ya kawaida bali hadi kunywa.
Changamoto ni gharama ya kiwanda cha kufanya haya. SijaJua wanasiasa wetu huwa hii kitu wanaiangalia vipi.