Inawezekana ikawa kweli?

Na ndio maana sisi tunaweza kukutana bila uoga je TIBA tukimtaka tukutane nae atakuja??

Au wakutane wao kwa wao WATASUBUTU! thubutu!!!! Wanaogopana vibaya sana!
 
Cheki TIBA kaka yangu mwenzio siasa ilivyonichosha unanishauri niendelee nayo?

Attachments

  • choka mbaya.jpg
    30.8 KB · Views: 80
Cheki TIBA kaka yangu mwenzio siasa ilivyonichosha unanishauri niendelee nayo?

hehehehehehe!hii ni politiksi bana!
wanaoijadili kwa sana wapo yuropu na amerika!inaotuhusu moja kwa moja ndo kama hivi
 
Cheki TIBA kaka yangu mwenzio siasa ilivyonichosha unanishauri niendelee nayo?

Kwa siku ya pili mfululizo mpwa umenifanya watu wanione kreze hapa kwa ofisi. Kicheko kama cha fisi! Nimecheka mbaya! Hahaha! You have made my day pal! Ntakunywa serengeti tatu kwa afya yako.
 
Cheki TIBA kaka yangu mwenzio siasa ilivyonichosha unanishauri niendelee nayo?

Mpwa hujabadili smile yako, nimependa wave na hako kastaili kanako ning'inia mdomoni.
 
Mpwa hujabadili smile yako, nimependa wave na hako kastaili kanako ning'inia mdomoni.

Ni siasa za nchi hii zimenifikisha hapa natafuta ya Baba yangu kutoka Marangu Moshi tulipiga wakati tunafanya mazoezi sinza kwa mtogore nikipta nitaiweka umeshamfahamu?
 
Ni siasa za nchi hii zimenifikisha hapa natafuta ya Baba yangu kutoka Marangu Moshi tulipiga wakati tunafanya mazoezi sinza kwa mtogore nikipta nitaiweka umeshamfahamu?

Hivi huwa ni sinza kwa mtogore au Tandale kwa mtogole ah
 
Ni siasa za nchi hii zimenifikisha hapa natafuta ya Baba yangu kutoka Marangu Moshi tulipiga wakati tunafanya mazoezi sinza kwa mtogore nikipta nitaiweka umeshamfahamu?

Fanya jitihada uiweke hapa huyo Tibaigana ajue kwanini siHaSa za bongo hazina deal.
 
Tuendeleeni kushabikia SI HASA lakini tujue SI HASA hazitushangilii.
Tuendelee kupanua midomo yetu kama huyu bwana pichani ila tuchunge wadudu wasiingie ndani. Hakika uchaguzi umewadia.
 
Attachments

  • Picture15.jpg
    27.1 KB · Views: 60
Huyo mtoa mada yuko makini kweli? Kuna majukwaa mangapi hadi mafisadi wailenge jf? Inahuzunisha kuwa na mawazo kama hayo
 
we sema tu bwana kila mtu ana haki ya kusikilizwa
ila mada yako umekosea jinsi ya kuiwasilisaha
natanguliza shukrani

Firstlady1,

Asante kwa kugundua makosa yangu. Hebu nisaidie, nilipashwa kuiwasilisha vipi? Msaada tafadhali.

Tiba
 
Mkuu, huo ndio ukweli niliouona mimi kwamba kwa sasa watu wanatumia muda mwingi sana kuchangia mada za mapenzi kuliko mambo yenye manufaa kwa kizazi cha sasa na kijacho cha Tanzania yetu!!!! Na nikafikiri labda kuna mkono wa mtu. Ni fikira tu!!
 
Kama utatuzi wa matatizo wa hili taifa ungeendana na uwezo wa baadhi ya wasomi na wasio wasomi wa kitanzania wa kulalamika lalamika hili taifa lingekuwa kama mataifa tajiri ya dunia ya kwanza-NGULI 2009

Mkuu Nguli,

Nimekupata vizuri. Huo ndio ukweli lakini ukisikia mtu analalamika hiyo ni dalili kwamba kuna mahali mambo hayendi sawa.

Tiba
 
mkuu nguli,

nimekupata vizuri. Huo ndio ukweli lakini ukisikia mtu analalamika hiyo ni dalili kwamba kuna mahali mambo hayendi sawa.

Tiba

atoe solution sio kulalamika lalamika, hata hao kwenye sihasa wanalalamika hawatoi solution ya matatizo kwa mfano tu india walikosa mkate siku 1 watu wote wakalala njiani je wewe na wenzio mnaoongea point /sihasa je mmefanya nini?
 
bravo
 
Mkuu,

Niliposema "wako wengi" hiyo ni relative term ambayo yeyote anaweza kuichukulia apendavyo. Sijui kwa upande wako umeichukuliaje!! Kwa kweli I did not intend to offend anybody.

Mkuu, ukisoma post yangu tena nimeeleza kwamba kwa maoni yangu post za mapenzi kwa sasa zimekuwa nyingi zaidi ya zile zinazohusu mustakabali wa nchi yetu!!!. Na nikajaribu kumtafuta mchawi kwa nini hali imekuwa hivyo? Nikatoa jibu linalofikiria mimi kwamba ndio sahihi. Ni wajibu wako kupingana na kile nilichokifiria mimi.

Tiba
 
Yaleyale mtu anaanzisha thread afu anaikimbia anawaacha wapwa wanadiskasi mambo ya malovee na maulabu kwa kwenda mbele. Wapwa bwana! You owe me some few crates of beer and three bottles of banta! Bila kusahau maji makubwa ya kilimanjaro matatu!

Mkuu sijaikimbia hoja, nilikuwa nambadilisha mtoto nepi, nimerudi ulingoni!!!

Tiba
 
Mkuu Tiba.

Tuachane na rhetoric. Mstakabali wa nchi hii unayosema ni yetu ni upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…