Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Mkuu,
Nakushuru kwa ushauri. Lakini je kuna ukweli kwamba masuala ya mapenzi kwa sasa yako juu kuliko issues zinazogusa mustakabali wa taifa hili?
Tiba
Mwanamke / Mwanaume rijali lazima azungumzie, ayatende na ayapende mapenzi. Ukiona mtu anayakwepa ujue kuna matatizo kwenye mfumo wake wa kibaiolojia wa mapenzi au ameharibiwa mtindio wa ubongo unaoleta hisia za kimapenzi. Na hakuna kinachoharibu mifumo hiyo miwili zaidi ya SIASA. I hate politics from the botoom of my heart. Wapwa na mabinamu turudi nyumbani kwenye jukwaa letu, tunapoteza muda hapa. Tutaambukizwa virusi vya siasa. I am warning you!