Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
Abdulhalim kila nikiangalia picha yako nahisi kukuogopa sijui kwa nini
Nisamehe sana kwa hili
mchana mwema 🙂
why so afraid?
Abdulhalim kila nikiangalia picha yako nahisi kukuogopa sijui kwa nini
Nisamehe sana kwa hili
mchana mwema 🙂
Na ndio maana sisi tunaweza kukutana bila uoga je TIBA tukimtaka tukutane nae atakuja??
Cheki TIBA kaka yangu mwenzio siasa ilivyonichosha unanishauri niendelee nayo?
![]()
Cheki TIBA kaka yangu mwenzio siasa ilivyonichosha unanishauri niendelee nayo?
![]()
Cheki TIBA kaka yangu mwenzio siasa ilivyonichosha unanishauri niendelee nayo?
![]()
Mpwa hujabadili smile yako, nimependa wave na hako kastaili kanako ning'inia mdomoni.
Ni siasa za nchi hii zimenifikisha hapa natafuta ya Baba yangu kutoka Marangu Moshi tulipiga wakati tunafanya mazoezi sinza kwa mtogore nikipta nitaiweka umeshamfahamu?
Ni siasa za nchi hii zimenifikisha hapa natafuta ya Baba yangu kutoka Marangu Moshi tulipiga wakati tunafanya mazoezi sinza kwa mtogore nikipta nitaiweka umeshamfahamu?
Hivi huwa ni sinza kwa mtogore au Tandale kwa mtogole ah
Fikra yako ni potofu pale unaposema kunaweza kuwa na mkono wa mafisadi kustawisha jukwaa la mahusiano ili watu wawe distracted, c'mon Tiba, what makes you think sisi tunaochangia kule tumetumwa na mafisadi, afta all nini kinakufanya uanze tu kutoa accusations bila ushahidi halafu eti unataka sisi ndo tukupe data au kukwambia kama kweli au si kweli?
Kama utatuzi wa matatizo wa hili taifa ungeendana na uwezo wa baadhi ya wasomi na wasio wasomi wa kitanzania wa kulalamika lalamika hili taifa lingekuwa kama mataifa tajiri ya dunia ya kwanza-NGULI 2009
mkuu nguli,
nimekupata vizuri. Huo ndio ukweli lakini ukisikia mtu analalamika hiyo ni dalili kwamba kuna mahali mambo hayendi sawa.
Tiba
Mkuu Tiba heshima mbele sana,
Niseme tu kwamba kwanza hii hoja yako imenishangaza, I mean where is diversity in JF? kwa nini kuna majukwaa tofauti tofauti? ungependa wote wachangie siasa?
Pili, hadi leo hii jukwaaa ka siasa lina posts zaidi ya 220,000, huku jukwaa la mahusiano na mapenzi likiwa na posts 36,000 hivi, je huo wingi unaozungumzia uko wapi? Huo uchunguzi mkuu uliufanyia forum hii hii ama nyingine?
mkuu labda tukumbushane karibu serikali nzima ilijiuzulu mwezi wa pili mwaka jana (2008), ungesema hapo kulikuwa na mijadala mizito nitakuelewa. Hoja ya EPA na Richmond au kagoda na wadogo zake si za mwaka huu wala mwaka jana ni za muda mrefu na zimejadiliwa hapa kwa mapana na marefu. Ni kitu gani cha ajabu kimetokea 6 months ago kiasi cha mafisadi kutuma watu wao huku kudivert mada?
mkuu hapa utakuwa unawapa mods kazi bila sababu, wenyewe wana kazi nzito kuhakikisha tupo hewani.
Mwenyewe kwa nini usicheki tu ukaja hapa na data kila kitu si kipo hewani ?
Otherwise, with all due respect, hii hoja siwezi kusema kama ina ukeli au haina, naiona totally irrelevant na isiyotegemewa kutoka kwa mtu wa kiwango chako.
respect.
Mkuu Tiba heshima mbele, hapo kwenye bold nachukulia kama insult kwangu binafsi na wengine kwa sababu unajaribu kuifanya hoja yako ionekane ina umuhimu kimyume na mawazo ya wengi hapa...I find that absolutely ridiculous
Pili, bado sijasema kuwa usiseme unachofikiria kuwa ni sahihi, nimeshangazwa na kile unachokifiria ni sahihi!
Tiba hebu tuambie sasa, maana naona unakwepa tu hapa, ni kwa jinsi gani jukwaa la mahusiano limeovertake jukwaa la siasa?
respect
Yaleyale mtu anaanzisha thread afu anaikimbia anawaacha wapwa wanadiskasi mambo ya malovee na maulabu kwa kwenda mbele. Wapwa bwana! You owe me some few crates of beer and three bottles of banta! Bila kusahau maji makubwa ya kilimanjaro matatu!
Mkuu,
Niliposema "wako wengi" hiyo ni relative term ambayo yeyote anaweza kuichukulia apendavyo. Sijui kwa upande wako umeichukuliaje!! Kwa kweli I did not intend to offend anybody.
Mkuu, ukisoma post yangu tena nimeeleza kwamba kwa maoni yangu post za mapenzi kwa sasa zimekuwa nyingi zaidi ya zile zinazohusu mustakabali wa nchi yetu!!!. Na nikajaribu kumtafuta mchawi kwa nini hali imekuwa hivyo? Nikatoa jibu linalofikiria mimi kwamba ndio sahihi. Ni wajibu wako kupingana na kile nilichokifiria mimi.
Tiba