Inawezekana ikawa kweli?

Ndo maana kuna majukwaa:SIASA,mahusiano,michezo na mengineyo
 
Serengeti Serengetiiiii
Serengeti Serengetiiiii
Serengeti Serengetiiiii
mambo ya chui!hehehehehe!safari ijayo tuna mwanachama mpya kabisa kaizer!mutu-ya-taska!πŸ˜€
 
huyu mimi nilishamsoma kupitia bwa-shee na wakati anapost.kwa kifupi sana ''yupo kazini''!

ANGALIZO KWA MRUSHA MADA:Nakupa pole sana mrusha mada kwasababu umeingilia kwenye mlango wa kutokea!
say it like it is, KAWASHA MOTO AMBAO HAWEZI KUUZIMA?
 
Mkuu asante kwa mchango wako. Je tutaupiga vita ufisadi kwa kutumia muda wetu kuchangia hoja za mapenzi? Au inawezekana sijakuelewa mkuu!!!

Tiba

Nadhani wewe ulikuwa Gwiji kule Zeutamu!
 
wgho cares if i die with love inside me? if i die rich with so many castles and without love, am nothing.
usichanganye baina ya ngono (au 'penzi' in commercialized language) na upendo. hivi vitu sio interchangeable.
 
usichanganye baina ya ngono (au 'penzi' in commercialized language) na upendo. hivi vitu sio interchangeable.

Go and read Nyamayao's signature.....just to keep you abreast am she
 
mambo ya chui!hehehehehe!safari ijayo tuna mwanachama mpya kabisa kaizer!mutu-ya-taska!πŸ˜€

hahaha! Mutu ya taska itakuwa mbili? Hahaha! Tutagawana umaskini bwashee! Mlete mpwa kwenye machimboa apate ile kitu roho inabenda. Banta ni mpaka kwenye get tugedha.
 
mambo ya chui!hehehehehe!safari ijayo tuna mwanachama mpya kabisa kaizer!mutu-ya-taska!πŸ˜€

umemsoma kaizer, hehehe naona familia ya wapwa inakoelekea ni kuvunja kabisa majukwaa mengine, invisibo ugonge vile vitufe kwenye kila posti ya mpwa kuonesha umetukubali.
 
you can say it again!

Yaleyale mtu anaanzisha thread afu anaikimbia anawaacha wapwa wanadiskasi mambo ya malovee na maulabu kwa kwenda mbele. Wapwa bwana! You owe me some few crates of beer and three bottles of banta! Bila kusahau maji makubwa ya kilimanjaro matatu!
 
umemsoma kaizer, hehehe naona familia ya wapwa inakoelekea ni kuvunja kabisa majukwaa mengine, invisibo ugonge vile vitufe kwenye kila posti ya mpwa kuonesha umetukubali.
familia inakuwa!

kulia lia na siasa 24/7 ni kujitafutia presha!
 
Am out jamani, until tommorow, its goodbye from carmel!
 
Go and read Nyamayao's signature.....just to keep you abreast am she

A real She with all qualities of beautiful black woman! Kama haamini akamuulize yule dereva wa bajaji alivoipeleka service bajaji kesho yake service ilim-cost kiasi gani.- I think he/she is understanding what am talking about.
 
Am out jamani, until tommorow, its goodbye from carmel!

Carmel we kapunzike mchango wako kwenye hii thread ni mkubwa sana kilo 2 za mdudu kwenye next geti tugeza nidai leo umenifurahisha.
 
Yaleyale mtu anaanzisha thread afu anaikimbia anawaacha wapwa wanadiskasi mambo ya malovee na maulabu kwa kwenda mbele. Wapwa bwana! You owe me some few crates of beer and three bottles of banta! Bila kusahau maji makubwa ya kilimanjaro matatu!
hizi ndo zetu mpwa!
ni ishu ambazo hazina tension wala haziiitaji brainstorming!ni swala la kupanda daladala,unabeba ka twenty kako,na kabahasha umeweka siivi ndani unakutana na wapwa mnabadilishana siivi MNALEWA!mnaagiza makange mnakula jioni unavizia tena kadala dala huyooooooooooooooooooooooooo!mpaka tandikaπŸ˜€

uzuri wake hamna anae kufuatilia kwasababu:
ROSTAMU HAUSIKI
PATELI HAUSIKI
MANJI HAUSIKI
JEIKEI HAUSIKI
AIPITIELO HAIUSIKI!

unaona bwana!πŸ˜€
 
Na ndio maana sisi tunaweza kukutana bila uoga je TIBA tukimtaka tukutane nae atakuja??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…