Inawezekana ikawa kweli?

Mkuu,

Nakushuru kwa ushauri. Lakini je kuna ukweli kwamba masuala ya mapenzi kwa sasa yako juu kuliko issues zinazogusa mustakabali wa taifa hili?

Tiba

Mwanamke / Mwanaume rijali lazima azungumzie, ayatende na ayapende mapenzi. Ukiona mtu anayakwepa ujue kuna matatizo kwenye mfumo wake wa kibaiolojia wa mapenzi au ameharibiwa mtindio wa ubongo unaoleta hisia za kimapenzi. Na hakuna kinachoharibu mifumo hiyo miwili zaidi ya SIASA. I hate politics from the botoom of my heart. Wapwa na mabinamu turudi nyumbani kwenye jukwaa letu, tunapoteza muda hapa. Tutaambukizwa virusi vya siasa. I am warning you!
 
KWA LEO NAMUWEKA KIPORO HUYU TIBA!to deal with her NEXT TIME
 
Mkuu Tiba heshima mbele, hapo kwenye bold nachukulia kama insult kwangu binafsi na wengine kwa sababu unajaribu kuifanya hoja yako ionekane ina umuhimu kimyume na mawazo ya wengi hapa...I find that absolutely ridiculous

Pili, bado sijasema kuwa usiseme unachofikiria kuwa ni sahihi, nimeshangazwa na kile unachokifiria ni sahihi!

Tiba hebu tuambie sasa, maana naona unakwepa tu hapa, ni kwa jinsi gani jukwaa la mahusiano limeovertake jukwaa la siasa?

respect
 
mkuu una akili sana ujue na mimi natoka siwezi kubishana na mtu nayetaka tufwate anayotaka.

Kuna mwanasiasa mkongwe kama kingunge amefanya nini yeye?
 
siasa yenyewe ya |Bongo tunaongeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeea weeeeeeeeeeeeeeee mwisho tutatembea mabarabarani tunaimba kidumu chama cha mapinduzi bila mafanikio yoyote
 
Thanks! Thanks! Me too.

Politics can never buy me.....am worth million times than that.
SWADAKTA SWADAKTA SWADAKTA!
unatumia bia gani nguli?!!!!!
MUHUDUMUUUUUUUUUUU!KONYAGI YA BARIDI KWA BRADHA PALE TAFADHALIπŸ˜€
 
Tiba hebu tuambie sasa, maana naona unakwepa tu hapa, ni kwa jinsi gani jukwaa la mahusiano limeovertake jukwaa la siasa?

respect

Heshima mbele mpwa. A real nice question kwa the great politician.
 
I better live and die poor with someone I love.
YOU CAN SAY IT AGAIN SHEMEJI!
muhudumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!MAJI TA KILIMANJARO YA MOTO MAKUBWA KWA SHEMEJI YANGU HAPA TAFADHALIπŸ˜€
 
swadakta swadakta swadakta!
Unatumia bia gani nguli?!!!!!
Muhudumuuuuuuuuuuu!konyagi ya baridi kwa bradha pale tafadhali:d

kilimanjaro lager!

Nahisi kitu mkuu rejea mazungumzo yetu ya jana jioni. Iam smelling s/thing fish
 
YOU CAN SAY IT AGAIN SHEMEJI!
muhudumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!MAJI TA KILIMANJARO YA MOTO MAKUBWA KWA SHEMEJI YANGU HAPA TAFADHALIπŸ˜€

Serengeti Serengetiiiii

hahah mpwa stuka! mwenzio ZD keshambadilisha hiyo anaondoka serengeti bariidi!

weita..chupa nyingine bwana kwa Xpin! hehehehe
 
hahah mpwa stuka! mwenzio ZD keshambadilisha hiyo anaondoka serengeti bariidi!

weita..chupa nyingine bwana kwa Xpin! hehehehe

You have said correct. once again!
 
kilimanjaro lager!

Nahisi kitu mkuu rejea mazungumzo yetu ya jana jioni. Iam smelling s/thing fish
huyu mimi nilishamsoma kupitia bwa-shee na wakati anapost.kwa kifupi sana ''yupo kazini''!

ANGALIZO KWA MRUSHA MADA:Nakupa pole sana mrusha mada kwasababu umeingilia kwenye mlango wa kutokea!
 
Abdulhalim kila nikiangalia picha yako nahisi kukuogopa sijui kwa nini

Nisamehe sana kwa hili
mchana mwema πŸ™‚
hahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…