Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,782
- 3,910
Kaanza leo tu kwa hiyo si big deal.
She's as healthy as a fiddle.
Daaaah....
Huyu urais hapana...
Kafika stage ya kurest
Kaanza leo tu kwa hiyo si big deal.
She's as healthy as a fiddle.
Now we really do not have a choice. Just start the whole nomination thing again.
Joe Biden anashukuru tu kuwa VP bila hata kutegemea.Hapo uncle Joe Biden anajuta ni kwa nini hakutaka kugombea!
Hapo uncle Joe Biden anajuta ni kwa nini hakutaka kugombea!
Wakati wao walimshabikia mgonjwa kipindi kileeeeIla sielewi...kwa nini Watanzania wanakuwa na ushabiki na uchaguzi wa Marekani?
Well said .....America has no one right at this time......Let's keep watchSipo upande wowote ule mwaka huu.
Wote Hillary na Donald ni wabovu tu.
Hakuna mmoja wao anayestahili.
Na wala sijawa negative.
Kilichomtokea leo ni kitu cha ukweli.
Hakuna uzushi wala chumvi iliyotiwa hapo.
The woman is unwell.
Nilikuwa nasoma article ya NYT jana, huyu jamaa wa Libertarians alishawahi kuuliza back in June "Who is Harriet Tubman?".I like him a lot.
Though he's kinda nutty but he's so much better than Hillary and Donald.
The year of the race to the bottom!
Both major candidates are sick in their own way.
The Libertarian one seems to be out of it as well.
"What is Aleppo?"
Thursday was not the first time that Mr. Johnson has faced such a situation. After speaking at a Politico convention in June, he was being directed to a room that was named after Harriet Tubman, the former slave and abolitionist. According to a report in The New Yorker, Mr. Johnson asked, “Who’s Harriet Tubman?”
Mimi nilishangaa kwa nini Clinton anataka shida za ofisi wakati kashazeeka angetulia tu ale pensheni.
Self actualization inatakiwa kumfanya mtu ajue sasa kazeeka na akae kufanya anachoweza, si kulazimisha mpaka anaadhirika bibi mzima anashindwa kutembea.Mambo ya self-actualization aliyoyaongelea Abraham Maslow
Mambo ya self-actualization aliyoyaongelea Abraham Maslow
Mwaka wa 2015 nilikua naskia Wabongo wakisema "kama mgonjwa akafie ikulu", hivyo hata huyu mama, mbele kwa mbele apewe tu kura maana hamna namna, kauli za Trump zinatisha jamani.
Mwaka wa 2015 nilikua naskia Wabongo wakisema "kama mgonjwa akafie ikulu", hivyo hata huyu mama, mbele kwa mbele apewe tu kura maana hamna namna, kauli za Trump zinatisha jamani.
Teh!, to conclude your sentence, ni afadhali ugonjwa wa mwili kuliko ugonjwa wa akili...lol