Inawezekana awe bikra halafu Anabreed Jamani?

Inawezekana awe bikra halafu Anabreed Jamani?

Yuko sawa kabisa.

BIKIRA na Kuingia Mwezini ni vitu viwili tofauti.

Kuingia mwezini ni sehemu ya Mfumo wa Mwanamke ambae ameshapevuka.

Wewe unaelewa kila kitu, sema umeamua kuzingua tu
haelewi huoni anasema kubreed.
 
Ameniambia hajawahi guswa tangu azaliwe yaani hamjui mwanaume na wala hakuwahi fanya hilo tendo,wiki ijayo tumepanga tukutane lakini juzi ghafla kanistua na kauli yake eti anabreed tena kaniambia bila presha yeyote as if ni jambo la kawaida,wataalam embu nijuzeni hapa!

Una miaka mingaki kijana. upo darasa la ngapi kwa sasa vile. ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom