Form 4 bila cheti mkuu,lakini nimeeleweka!Hivi mnapataga wapi uhalali wa kutengua maneno sahihi na kuandika yakwenu mkimaanisha kitu kingine??
Bleed mtu anaandika Breed, kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua ni home of great thinkers, kumbe na viazi pia wapo!!!Hapana mi sizingui inawezekana nilikaririshwa vibaya huko nyuma...mi niliamini mtu haanzi kubleed mpaka bikra itoke!
Sasa kijana ana Injiniaringi ya Udaktari wa vifaa tiba unategemea nini.Hivi mnapataga wapi uhalali wa kutengua maneno sahihi na kuandika yakwenu mkimaanisha kitu kingine??
Bleed mtu anaandika Breed, kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una umri gani???Kama amepevuka kwanini asibleed??Ameniambia hajawahi guswa tangu azaliwe yaani hamjui mwanaume na wala hakuwahi fanya hilo tendo,wiki ijayo tumepanga tukutane lakini juzi ghafla kanistua na kauli yake eti anabreed tena kaniambia bila presha yeyote as if ni jambo la kawaida,wataalam embu nijuzeni hapa!
ww JF Expert member? waaahahaha dah!Hapana mi sizingui inawezekana nilikaririshwa vibaya huko nyuma...mi niliamini mtu haanzi kubleed mpaka bikra itoke!