brand new laptops

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
87,113
120,486
Nauza laptops mpyaaa!Nipo ujipatie
Bei ni 500000/
Zipo na begi yake na adapter.....yaani complète
Aina zilizokuwepo ni acer,samsung
Kwa mawasiliano zaidi piga sim
0715591141 nko dar
Spécification zake
1)acer-internal memory 750
Ram 2 gb
Processor Intel(R)code(tm)i3 2330m cpu@2.20 ghz
Inch 14

2)acer laptop
Ram 2 gb
Internal memory 320 gb
System type 64 bit operating systm
Inch 14...
Processor-Intel(R)core(tm)i3 cpu m380@2.53 GHz 2.53 GHz
3)samsung-270
Ram 4gb
Infernal memory 500gb
Procédait amd EZ-1800 apu situ radeon(tm)hd graphic 1.70ghz
System type 64 bit operating system x64 basés processor

Karibuni
Ram 2 gb
Karibuni
 
Laptops hzi hapa
 

Attachments

  • IMG-20170224-WA0006.jpg
    IMG-20170224-WA0006.jpg
    41.8 KB · Views: 31
  • IMG-20170224-WA0007.jpg
    IMG-20170224-WA0007.jpg
    53.2 KB · Views: 36
  • IMG-20170224-WA0008.jpg
    IMG-20170224-WA0008.jpg
    47.2 KB · Views: 29
  • IMG-20170224-WA0009.jpg
    IMG-20170224-WA0009.jpg
    65.1 KB · Views: 32
  • IMG-20170224-WA0010.jpg
    IMG-20170224-WA0010.jpg
    52.2 KB · Views: 33
  • IMG-20170224-WA0012.jpg
    IMG-20170224-WA0012.jpg
    37 KB · Views: 29
  • IMG-20170224-WA0013.jpg
    IMG-20170224-WA0013.jpg
    42.9 KB · Views: 32
  • IMG-20170224-WA0014.jpg
    IMG-20170224-WA0014.jpg
    40.5 KB · Views: 30
  • IMG-20170224-WA0015.jpg
    IMG-20170224-WA0015.jpg
    27.1 KB · Views: 33
  • IMG-20170224-WA0016.jpg
    IMG-20170224-WA0016.jpg
    54.6 KB · Views: 30
  • IMG-20170224-WA0017.jpg
    IMG-20170224-WA0017.jpg
    43.1 KB · Views: 31
Nauza laptops mpyaaa!Nipo ujipatie
Bei ni 500000/
Zipo na begi yake na adapter.....yaani complète
Aina zilizokuwepo ni acer,samsung
Kwa mawasiliano zaidi piga sim
0715591141 nko dar

Karibuni
Natafuta lenovo yoga,au brand nyingine ya kuifanania,ipo?
 
Unatangaz kuuza laptops kama mapera,kha!!

Ebu Fanya kuweka na specifications kidogo basi
Duh kweli. Hata ukiza juice lazima useme ina nini nini. Laptop tu kwa bei bado haijakamilika. Pili ni MPYA BRAND NEW au MPYA SECOND HAND MTUMBA?
 
Duh kweli. Hata ukiza juice lazima useme ina nini nini. Laptop tu kwa bei bado haijakamilika. Pili ni MPYA BRAND NEW au MPYA SECOND HAND MTUMBA?
Soma tangazo langu vizuri nmesema brand new.....

Ova
 
Tulia kijana acha kuropoka kama ungekuwa na nia ungenitafuta kwa sim mbona namba yangu iko hapo.....huwezi niita ovyooo Juninho sikujui

Ova
We endelea kuleta kibri katika biashara utazitumia mwenyewe geto. Fanya kujibu unachoulizwa sio kuleta mabishano hapa . Ebooooo
 
We endelea kuleta kibri katika biashara utazitumia mwenyewe geto. Fanya kujibu unachoulizwa sio kuleta mabishano hapa . Ebooooo
We dogo mimii sijaanza Uza vitu humu leo!
We kaa kimya TU acha wanaohitaji ndiyo watanitafuta......we fanya kama unapita tu

Ova
 
We dogo mimii sijaanza Uza vitu humu leo!
We kaa kimya TU acha wanaohitaji ndiyo watanitafuta......we fanya kama unapita tu

Ova
Ukiona hujaanza leo kuuza vitu humu na bado matangazo yako ni ya onyo hivi, lazima una warakini...
 
Zimebaki mbili wadauuu ....bei inapungua kidogo,karibuni

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom