Inaweza kutokea Tanzania hii?

logframe

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,240
5,533
Japanese airline staff apologize to passengers for flight delay

Flight delayed due to the rain storm, employees of Japan Airlines in Vietnam Tan Son Nhat airport bow sorry to passengers. What a delightful moment ?

The reason i love Japan for its behavior, cleanliness and warm hearted people.

There is so much to learn from #Japan
.
Wafanyakazi wa kampuni ya ndege kuwaomba radhi abiria kwa kitendo cha safari ya ndege kuchelewa.
Je, sisi hapa Tanzania yaweza tokea wakaomba kwa Heshima namna hii?
FB_IMG_1690742959921.jpg
 
Inasemekana, ndio nchi ya kwanza kwa wananchi wake kuwa na nidhamu kwa hiari!

Kizazi kinachofunzwa nidhamu ya kweli, isiyo na hidden agenda nyuma yake, inayoendana na kasi ya kimaendeleo!

Wazee na LULU ya taifa kwao.
 
Na ndio walikuwa watu pekee waliosafisha sehemu waliokuwa wamekaa kwenye viwanja vya World Cup Qatar
 
Back
Top Bottom