Inawakilisha nini?

Inawakilisha nini?

Nyetk

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,648
Reaction score
1,701
Heshima kwenu wadau.
Nimebaini kuwa vyanzo vya majina ya vijiji/miji vyaweza kuwa vitambulisho vya kabila mwenyeji. Wenyeji ebu tujuzeni maana za vyanzo vya majina ya vijiji vyenu.

DODOMA
Chilonwa
Chiguluka
Chipanga
Chigongwe
Chinangali
Chigwe
Chipanga
Chimendelii
Chitemo
Chiguluka
Chi……………………………..

MANYARA
Endasaki
Endasiku
Endabashi
Endamalarieki
Endaharqadat
Enda…………………………

TABORA
Igalula
Isevya
Itetemya
Itaga
Isinsya
I………………………………

NTUZU/MWANZA
Buhingo
Buselesele
Busanda
Buluba
Bu……………………………

SINGIDA
Unyanga
Unyamikumbi
Unya……………………….
 
MANYARA
Endasaki
Endasiku
Endabashi
Endamalarieki
Endaharqadat
Enda…………………………

Lilishawahi kuambiwa kuwa Manyara majina ya vijiji vingi yameanzishwa na wa-Mang'ati. "Enda" kwao inamaanisha "mto". Mto wa simba, mto wa jiwe, mto wa fisi...... But sina uhakika.
 
Kimara
Kigogo
Kisukuru
King'ong'o
Kitunda
Kivule
Kipunguni
Kipawa
Kilungule
Kijichi
 
Kilimanjao
Kihurio
Kilema
Kibosho
Kiletoton
Kiborilon
Kileseseu
Kitobo
/
 
Katoro
Kanyigo
Kahororo
Kashai
Kasharu
Kanazi
Katoma
Kanyinabushwa
Katerero
Kamachumu
..........

Umenikumbusha nilikuwa huko juzi juzi nikakipita kibao kinachoonyesha barabara ya kwenda Katerero!
 
Kwetu Umachingani:

Namtumbo
Nangulukulu
Nachingwea
Nakapanya
Nanguruwe
 
Back
Top Bottom