N nyantuzu Member Oct 1, 2014 87 23 Jun 29, 2016 #1 Nauza Tecno Y4 used ipo katika hali nzuri. drop you offer.
Inamonga JF-Expert Member Jun 25, 2016 779 473 Jun 29, 2016 #3 Alafu hicho kingereza hapo hakiko sawa mkuu..
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,642 Jun 29, 2016 #5 Daah...hvi tunaweza kuingiza taifa kwenye ushindani wa kibiashara kweli? Kama tunaotegemea wawe wafanyabiashara matangazo yao ndo haya.
Daah...hvi tunaweza kuingiza taifa kwenye ushindani wa kibiashara kweli? Kama tunaotegemea wawe wafanyabiashara matangazo yao ndo haya.
mbapa Member Feb 4, 2014 63 18 Jul 6, 2016 #6 nyantuzu said: Nauza Tecno Y4 used ipo katika hali nzuri. drop you offer. Click to expand... Weka bei na unakopatikana.
nyantuzu said: Nauza Tecno Y4 used ipo katika hali nzuri. drop you offer. Click to expand... Weka bei na unakopatikana.
NEXTLEVEL JF-Expert Member Jan 19, 2012 857 394 Jul 6, 2016 #7 mbapa said: Weka bei na unakopatikana. Click to expand... Techno C5 yenye 4G inamuda wa wiki2 na nusu full boxed na risti yake lete laki2 nikupatie.
mbapa said: Weka bei na unakopatikana. Click to expand... Techno C5 yenye 4G inamuda wa wiki2 na nusu full boxed na risti yake lete laki2 nikupatie.