SOKO LA MAGARI
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 115
- 66
320, 340 au 360??!!
Gari iko wapi??!!
First registration Tanzania mwaka gani??!!
Overhaul mara ngapi??!!
Mfumo wa gia na diff ina shida zipi??!!!
Shukran mkuu hii ni zile Original for Afrika, double chasis na nene, 310 hp,, gearbox 10 gears, Engine std, Double Diff Hub reduction, chasisi haijawahi kuungwa Namba ni ABV
Shukran mkuu hii ni zile Original for Afrika, double chasis na nene, 310 hp,, gearbox 10 gears, Engine std, Double Diff Hub reduction, chasisi haijawahi kuungwa Namba ni ABV
hapana kichwa tuUnauza pamoja na trailer lake?
iko dar es salaamIko wapi tuione zaidi
iko dar es salaam