Inauzwa kama ilivyo

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,815
730,176
257a7768ba379056abe873fda99a6b52.jpg
 
kuishi humo ni gud kwanza unakuwa umewateka watu ki fikra yani ww ni mtu hatari..
 
Haina shida mbona hiyo! Unainunua kisha unaitakasa

Ili Ukae Salama Humo Inakubidi Uweke Kontena La Biblia Hapo Na Uzisambaze Katika Kila Chumba Lakini Pia Uzungumze Na Wachungaji Wetu Wakubwa Hapa Bongo Wawe Wanapishana Kila Kukicha Kuendesha Ibada Zao ZILIZOTUKUKA Hapo Vinginevyo Utakuwa MTEJA MKUU Wa Wachawi Na Majini 24/7.
 
Moja tu inatosha...ukiwa na imani thabiti hata kidogo tu kama chembe ya haradali mapepo na nguvu zote za kuzimu vitatimua mbio humo
 
Ili Ukae Salama Humo Inakubidi Uweke Kontena La Biblia Hapo Na Uzisambaze Katika Kila Chumba Lakini Pia Uzungumze Na Wachungaji Wetu Wakubwa Hapa Bongo Wawe Wanapishana Kila Kukicha Kuendesha Ibada Zao ZILIZOTUKUKA Hapo Vinginevyo Utakuwa MTEJA MKUU Wa Wachawi Na Majini 24/7.

Sioni lolote hapo. Ninasikia ni sauti ya kifaranga kikiwika!.

Lete bei mshana jr, tufanye biashara mara moja.
 
Lina ukubwa wa kutosha kabisa kupaki hata semitrailer 5

Bei yake sio shekeli bali debe tano ya damu mbichi ya mtu

Ngoja niseme na red cross tuende kwenye mbio za mwenge tujenge kibanda na kukiita "changia damu salama". Watz watachangia bila kuhoji inakwenda hospital gani na debe zile zikifika, tunapeleka. Tatizo labda litakuwa kwenye kuandikiana mkataba wa mauzo!. Kwa sababu hata mimi sintaki kukutana na mmiliki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom