INAUZWA- GRASS CUTTER MACHINE

INAUZWA- GRASS CUTTER MACHINE

Joined
Nov 6, 2016
Posts
92
Reaction score
280
IMG-20250522-WA0003.jpg
MASHINE YA KUKATIA NYASI NA MASHINE YA KUPALILIA MASHAMBA | BRUSH CUTTER MACHINE


Call/Text/WhatsApp: +255 762 212623
Bei za hii BRUSH CUTTER MACHINE.
📌FOUR STROKE
Kubwa: 700,000Tsh - Ya mgongoni


BRUSH CUTTER hizi ni mashine (portable) zinazotumika kukatia nyasi, kupalilia na kukata miti.
Mashine hii moja inaweza kufanya kazi zaidi ya moja, kazi ambazo hii mashine inafanya ni:-
1. Kukata nyasi - kufyeka
2. Kukuta miti kama Chain Saw
3. Kupalilia
4. Kufyeka vichaka vikubwa.
5. Kuvunia mpunga
Hizi Brush cutter zipo za two stroke na four stroke, hizo ni aina za injini na mfumo wake.
Mashine zinatumia mafuta kidogo sana kwa saa, hivyo lita 1 ya mafuta unaweza kutumia kukata nyasi katika eneo kubwa.
Faida ya hizi mashine ni kwamba inaokoa muda wa kufanya kazi, lakini pia inapunguza gharama za uendeshaji badala ya kulipa watu wengi kusafisha eneo hii mashine moja na mtu mmoja inatosha.
Maeneo mengi ya jeshini na makampuni yaliochukua tenda ya kufyeka nyasi za barabarani hutumia aina hii ya mashine, wengi wamenunua hizi mashine hapa kwetu CAM STORE TZ.
#mashine #mashineyakukatianyasi #grasscutter #kukatanyasi #mashinezakupalilia #maguu #mashineyakutoamagugu #mashineyakukatanyasi #grasscuttingmachine #kukatanyasi #mashineyakufyekeanyasi #BRUSHCUTTER #mashineyakukatamajani #kufyekamajani #mashineyakufyekea #weedingmachine #weedremover #Portableweedremover
wasilina nasi kwa
Simu:
+255 762 670 227 (WhatsApp)
+255 785 670 227
0762212623
#fourstrokebrushcutters #mifugo #twostroke #fourstroke #twostrokebrushcutters #tanzania #daressalaam #tanzania #arusha #dodoma #tanzania🇹🇿
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom