kelvinlewis
JF-Expert Member
- Jan 8, 2018
- 308
- 207
pole sana mkuu,,,,
tehteh pale alipokuja home
Vp Baharia , unaishi Dar?Kitendo cha mimi kutoka na kwenda south africa na kukaa takriban miez nane na kurud nakuta nimpendaue tayar anayo mimba
Daa aya bana maisha yanaendelea afu bila aibu alipo ckia nimerud akaja mpaka hme bila kuhofia chochote na tumbo lake duu wanawake wengne mpo vzur asee
Ndo basi tena mm na yeye
pole sana mkuu,,,,
tehteh pale alipokuja home
Mimi nimesha azimia kuto oa. Natafuta binti nipige mimba hata Mungu akinichukua niwe at least nimeacha alama. Nishawaseti mabinti kama watatu hiviKitendo cha mimi kutoka na kwenda south africa na kukaa takriban miez nane na kurud nakuta nimpendaue tayar anayo mimba
Daa aya bana maisha yanaendelea afu bila aibu alipo ckia nimerud akaja mpaka hme bila kuhofia chochote na tumbo lake duu wanawake wengne mpo vzur asee
Ndo basi tena mm na yeye
Ulishindwa kuopoa coloured hata mmoja kule kwa mabida ?Kitendo cha mimi kutoka na kwenda south africa na kukaa takriban miez nane na kurud nakuta nimpendaue tayar anayo mimba
Daa aya bana maisha yanaendelea afu bila aibu alipo ckia nimerud akaja mpaka hme bila kuhofia chochote na tumbo lake duu wanawake wengne mpo vzur asee
Ndo basi tena mm na yeye
Nimelike comment yakoMimi nimesha azimia kuto oa. Natafuta binti nipige mimba hata Mungu akinichukua niwe at least nimeacha alama. Nishawaseti mabinti kama watatu hivi