Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

UBILUKO

Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
94
Reaction score
192
Mimi ni mwalimu na nina familia lakini maisha nayoishi kwa sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania.

Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba, tena mwiba hasa.

Na huwa sijua hawa watu wanapigaje hesabu, yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh.

Tupo kazini lakini hatuna furaha

Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip .
Screenshot_20230609-000214.jpg
 
Mpwayungu Village njoo huku uncomment kidogo
Abadani sitakuja kuwaonea huruma hawa mbweha mpaka watakapokuja kujitambua na kudai teaching allowance ili iweze kupunguza ukali wao wa maisha

Wakati huku viongozi wakiingia mikataba mibovu ya kubinafsisha bandari ya dar Es salaam nakupiga mabilioni ya pesa huku mwalimu wa shule ya Msingi anahangaika miaka kumi kumaliza deni la payport ambalo kimsingi ni nusu mshahara wa mbunge au waziri.

Walimu mishahara yenu ni midogo sana kama ilivyo Kwa sekta nyingine tu ila shida nyie hamna posho hicho tu, wateja wenu hawana pesa lakini polisi anauwezo wa kupiga patrol mpaka alfajiri hakosi laki Tatu ambayo ndo mshahara wako wa mwezi japo kuwa mnamzidi mpaka polisi ila wao wateja zao (watuhumiwa) ni watu wazima wenye kutoa pesa mfukoni akitengeneza mazingira ya rushwa ila sio nyie Kwa wanafunzi

Mimi ushauri wangu kutokana na iyo salary slip acha kazi tu ufanye maisha mengine maana hapo utakuwa unaaibisha fan huwez kuishi Kwa dolar hamsini hata siku moja. Au mbinu nyingine ya kivita fanya fujo uwe mbishi usiyeelewana na mkuu wako uwe mwanaharakati ili wakutengenezee zengwe wakuhamishe ili upate pesa ya uhamisho hiyo pesa ufanyie miradi vinginevyo hutoboi

Hapo mkuu ngoma ngumu hiyo maana dah ahsee nashindwa nikwambiaje ila nyie walimu kunguru ana uafadhari yani Mnaishi maisha yakifukara chini ya mstari wa umasikini. Mpo kama mapakashumbe
 
Inauma sana
 
Mm ni mwalimu na Nina familia lakini maisha nayoishi kwa Sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania .

Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi Wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba Tena mwiba hasa ,

Na sijuagi Hawa watu wanapigaje hesabu yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh .

Tupo kazini lakini hatuna furaha

Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip View attachment 2650518
My friend just commit suicide. That's the only solution. You will never suffer anymore.
 
Ipo hivyo maana hata akiwa mbishi, kaidi kufata maelekezo na nimtu wa kuhoji sana Kwa mshahara wake ulivyo wa mbuzi TSC hawana kawaida ya kumpa adhabu ya makato ya mshahara asilimia 15 maana mshahara wenyewe hana Sasa watakata nini kwahiyo watu kama hawa hawawez kukumbana na adhabu yoyote ya mshahara zaidi ya uhamisho. Uhamisho kwake ni advantage maana atalipwa tena ana mke na watoto hakosi million tano mpaka Sita
 
Daaah! Noma sana
 
Shida ni uoga wa kukosa Ulinzi wa kimaslah na mkiendelea kuwaza mishahara serikali ya hawa wavaa nguo za kijani mamamaKE hamtoboi.
Kazi ya ualimu niyahovyo sana tena sana, Ina maelekezo pande zote nne kila kiongozi anatoa maelekezo Kwa hawa mbweha ajabu mpaka mwenyekiti wa kijiji anawakaripia na kuwapa onyo Ikitokea Kuna jambo lolote lile

Mwaka Jana huko monduli Kuna mwenyekiti wa kijiji alimnasa makofi mwalimu wa sekondari tena ya advance mbele ya wanafunz kisa tu alikutwa Jana yake anakunywa pombe mida ya kazi, japo hairuhusiw ila mwenyekiti wa kijiji ni nani mpaka ampige mwalimu tena wa physics nawakati hayupo kwenye kamati ya nidhamu hata hiyo kamati haina power ya kupiga walimu japo kuwa mwalimu alisema hakuwa na kipindi siku hiyo wanafunz wa kidato cha Sita walienda study tour
 
Hii nchi, Khaa!
Kwa ushauri Mkuu tafuta plan iliyonyooka ifanyie research (minimum 6 months au till mikopo yote ikate" then kopa hata 30M if possible alafu hama ata mkoa kapige harakati nyingine
Hapo hana access tena ya kukopa popote pale, kwanza hata moja ya Tatu imeshuka kitu ambacho ni kosa kwa mtumishi wa umma, unasema million 30 mkuu ivi unaota nawakati hapo hata laki Tatu hakopesheki na hayo madeni kuisha kwake mpaka atastafu.

Ajabu ya yote sijui amekopaje Kwa hawa Bayport kausha damu, hata hivyo huyu jamaa Kwa basic salary yake tu inaonyesha hajapanda hata daraja moja toka aajiriwe hivyo hana mda mrefu kazini kazidi sana ni 2019 Sasa kakopa Kwa shida zipi benki zote mbili mpaka za Mitandaoni kausha damu??

Anaacha NMB na CRDB anakimbilia letshego bank aonekane wakimataifa mtoto WA town kumbe mbuzi tu unaenda kwenye mabenki yenye riba za kaba koo tena huwa yanasign tu bila kusoma vzr mkataba Wala hayajui riba bei gn yanakuwa na pressure ya pesa tu
 
Kazi ya ualimu niyahovyo sana tena sana, Ina maelekezo pande zote nne kila kiongozi anatoa maelekezo Kwa hawa mbweha ajabu mpaka mwenyekiti wa kijiji anawakaripia na kuwapa onyo Ikitokea Kuna jambo lolote lile

Mwaka Jana huko monduli Kuna mwenyekiti wa kijiji alimnasa makofi mwalimu wa sekondari tena ya advance mbele ya wanafunz kisa tu alikutwa Jana yake anakunywa pombe mida ya kazi, japo hairuhusiw ila mwenyekiti wa kijiji ni nani mpaka ampige mwalimu tena wa physics nawakati hayupo kwenye kamati ya nidhamu hata hiyo kamati haina power ya kupiga walimu japo kuwa mwalimu alisema hakuwa na kipindi siku hiyo wanafunz wa kidato cha Sita walienda study tour
Wanateseka hta wanapostahiri kutesa. Waache unyonge shida nao wana vibunge vibunge viingii ndani ya Vyama vyao.
 
Back
Top Bottom