CYPRIAN MKALI
Senior Member
- Nov 12, 2010
- 176
- 67
Mwambie kabisa mahawara ni gharama kuwahandle asije kufikiria watu wanauza maneno nje, kama huna pesa utakuwa unajitafutia balaa bure ila ukiwa nazo huwezi kunote maana kila mara utakuwa unaambiwa honey I love and others mpaka uone mapenzi si ndiyo haja kumbe umeingia chaka!.......Mwambie aachane na mawazo ya mahawara miezi tisa ni nini bana?
Wewe unakuwa kama mgeni bana, mke wako ni mke wako na hawezi kufanana na mke wa rafiki yako. Na hustoe ushauri kwa kum-refer mke wako utavunja ndoa ya mwenzio. Ndoa hazifanani hata siku moja ndugu yangu,Kuna jamaa yangu kanifuata kuomba ushauri juu ya tabia ya mke wake, naomba busara zenu wadau.
ishu ni kwamba toka mke wake apate ujauzito, nyumba imewaka moto!
shem amekuwa anamgomea mara nyingine hata kuchomeka neti na kutandika kitanda akidai ajisikii kutandika km hataki walale ivyo ivyo.
amekuwa mara nyingi anamajibu ya mkato na dharau ktk mazungumzo yao ya kila siku. kubwa kuliko hataki kabisa kushiriki tendo akidai hajisikii kufanya ivyo na ukizingatia ujauzito ndo kwanza una mwezi 1 [SUP]1[/SUP]/[SUB]2[/SUB].
mimi wakwangu hakuwa ivyo ati, so nashindwa amini sana ila sina uhakika labda kuna wengne wanakuwa ivyo au ni usanii tu?
jamaa amechanganyikiwa na ndoa ndo bado changa. nilipo muuliza unafikiria kufanya nini ju ya hili, akaniambia anataka atafute mwingne wa pemben hapo ndo nilizidi changanyikiwa nikahisi lipo juu ya uwezo wangu.
Sasa waweza kumruhusu mtumishi wako aende kwa amani ameshajifunza jambo kwa leo hapa JF. Duh, sikujua hii maanaNDOA; Nyumbani Daima Omba Amani
Wakati wakuapa anakumbuka alisema nini?anakumbuka nyakati zote alizoahidi kua atakua na mkewe?
Wanaume jamani kutandika au kuweka net kuna ishu gani??
Nijuavyo wanaume ni watu wasiopenda malumbano sasa mbona huyu anakua tofauti?ushajua mkeo mjamzito,awe anavunga au ni kweli usjali,wewe fanya pale alipogoma wala asibishane nae hata dk moja,kama huyo mwanamke yuko sawa atajirudi tena kabla hajazaa,ajifunze kuwa mkimya na kufanya anachogoma bila majibizano mana hayo ndio yanampa mkewe power yakuongea kwa kufanya hivyo lazima atanyooka na tendo la ndoa kama kawaida ajaribu wiki tu aone,naamini mwanaume alieoa anaweza.
Kutafuta wa pembeni simshauri coz pesa nayopoteza kwa malaya huyo ni bora akazitumia kuandaa vitu vya mtoto na maandaizi ya mkewe kujifungua kwenye hospital nzuri na kuhakikisha anapata lishe bora ili azae mtoto mwenye afya
Sijui mwenzangu ni mkristo au mwislam ila biblia yangu inasema kwenye Mithali 6:32-33 aziniye na mwanamke ni mpumbavu na ukiendelea mbele utapata maneno mazuri tuuu,pia kumbuka huyo ni mkeo na bado mtazaaa na kuzaa na pia mtakua pamoja hadi kifo kiwatenganishe sasa utabadili wangapi? na Mungu anakuangalia tu au?
"Usifanye kosa kwakua mwenzio amekosa"
Wewe unakuwa kama mgeni bana, mke wako ni mke wako na hawezi kufanana na mke wa rafiki yako. Na hustoe ushauri kwa kum-refer mke wako utavunja ndoa ya mwenzio. Ndoa hazifanani hata siku moja ndugu yangu,
wewe ni mwanamke kweli nina mashaka na wewehizo kazi ndogo ndogo kama zinamshinda mkeo,weka housegirl ila mie ningekushauri utafute nyumba ndogo ila ucheze safe huko nje kuna magonjwa mengi,mkeo akijirudi uibwage nyumba ndogo asipojirudi baki nayo kuna wanawake wanahitaji wasaidizi mkeo ni mmojawapo.........sijui anafanya makusudi au la ila unahitaji mtu wa kusuplement kinachokosekana ndani ya ndoa yako period.
hizo kazi ndogo ndogo kama zinamshinda mkeo,weka housegirl ila mie ningekushauri utafute nyumba ndogo ila ucheze safe huko nje kuna magonjwa mengi,mkeo akijirudi uibwage nyumba ndogo asipojirudi baki nayo kuna wanawake wanahitaji wasaidizi mkeo ni mmojawapo.........sijui anafanya makusudi au la ila unahitaji mtu wa kusuplement kinachokosekana ndani ya ndoa yako period.
wewe ni mwanamke kweli nina mashaka na wewe
This is the worst scenario one may consider. If it is implemented, its impact will be likened to a tsunami.
sina cha kukupunguzia labda cha kukuongezea mwena ukiwa na mashaka na mie unanipunguzia nini mie?khaaa
sina cha kukupunguzia labda cha kukuongezea mwe