Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Babe....
Leo unanikana kwenye juani linawaka na penye mwanga kabisaaaaa...!!??![]()
![]()





Babe....
Leo unanikana kwenye juani linawaka na penye mwanga kabisaaaaa...!!??![]()
![]()





Huwa inaumiza lakini,mwisho wa siku maisha yanatakiwa yaende....ulimwengu bado unamaua mengi tu
Nikwel mkuu maisha acha yasonge.
Sasa we nawe unampendaje asiyekupenda dunia hii ya kumpenda asiyekupenda????
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapenda akukubalie wakati hakupendi, umuoe then uje kulialia. Penda unapopendwainauma sana pale unapompenda mtu alafu yeye anakuchukulia poa.
Moyo umeuwekaje yaani? Ina maana hauhamishiki? You can't be serioussikujua mkuu japo kama ningelijua mapema nisingeliweka moyo wangu pale.
sio vizuri kumjibu mtanzania mwenzio ivo,unatakiwa umpe moyo wa matumaini bana usicheze na hisia aisee over!
Nakuomba urudishe ile avatar comrade tafadhaliKuna binti niliwahi kumwambia kwamba......
Kama haujipendi kwanza, basi do not expect kuna yeyote atakupenda
Mkuu