Inauma sana: Siku ya leo nilimpoteza baba yangu

Inauma sana: Siku ya leo nilimpoteza baba yangu

Siku kama ya leo..(alhamisi kuu)tarehe 13/4/2017 nilimpoteza Baba angu..Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa Amani..Amen


Pole mkuu sana.

Nafahamu machungu ya kuondokewa na mzazi.

Uchungu Wa kufiwa aujuae mfiwa.
 
kuna wajinga hawajawahi kufiwa ila wanashabikia polisi kuvamia misiba, nilimwambia jamaa naomba ufiwe na mtu wa karibu ujue uchungu wake

pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom