Inauma sana nakuwa mkubwa halafu nazidi kuwa maskini

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,565
44,756
Yaani zamani miaka ya nyuma nilikuwa siwazi kabisa Kama nguo nimeipenda Basi natoa hela nainunua nakumbuka nilikuwa napenda Sana mashati na suruali za dickers yaani haipiti week nishanunua nguo mpya

Leo hii namaliza hata miezi miwili sijanunua nguo.Mwanangu wa kiume Mara ya mwisho kumnunulia kiatu ni mwezi February mwaka huu.Yaani nakuwa mkubwa nazidi kuchakaa nazidi kuchoka nazidi kufilisika

Halafu watu wamekaa miaka zaidi ya 20 umasikini haujaisha?Are we serious?

Naona Kama tunaleta mzaha.Jamani wakubwa huko tufikirieni na sisi basi maana tumeanza kuwakimbia mpaka wake zetu sasa hivi hakuna tena mapenzi ni mawazo juu ya mawazo.

Pesa zimeenda wapi mbona kama ni kazi tunafanya biashara lakini hazinunuliki watu hawana hela kila mtu anakwambia hana hela.

Yangu ni hayo tu kwa leo.
 
vipi 'uchumi wa kati' haujakufikia bado? wacha nimpigie simu JPM nimwambie kuna mtu anafanya uchochezi huku, haiwezekati tunatangaza kuwa pato la kila mwananchi limeongezeka kwa shilingi 100,000 alafu wewe unasema umezidi kuwa masikini.
 
Ni dhahiri kuwa umechoshwa na sirikali yako ...usiwaze ni mambo ya mda tu
 
Na ukiendelea kuikumbatia ccm utachakaa kweli kweli! Maana hiyo ccm ina wenyewe, na hao ndiyo wanaofaidi mema ya nchi hii. Wewe na mimi tutaendelea kuwa wasindikizaji tu.
Wenyewe gani Zaid ya viongozi tu Tena wale wakubwa wakubwa maana hata viongozi wa ngazi ya wilaya wilaya wapo Kama Mimi tu kwa Sasa ..hata CCM nikiiacha bado hakuna faida Nitapata
 
Ninafanya kazi sana...nimeongeza bidii sana..ninamtumikia mwajiri sana....ninafanya biashara sana...lakini kila siku ninastrugle mafuta kwenda kaxini gari kiwese kinazungukia kwa Elena (empty) ...hata sijui ninafanya kazi gani aisee..ninajitathmini hata jibu sipati.. ninakwenda tra kufunga biashara zangu zote kisha huko kazini .....

Mwanzoni tulidhani sex will make things better lakini saivi duh...ukilala ni maiti hata zakali haishtuki...na wala haitaki kusumbiliwa....na mama anajuwa akikugusa tu ngumi ya uso inamhusu
 
Back
Top Bottom