Inauma sana nakuwa mkubwa halafu nazidi kuwa maskini

Wenyewe gani Zaid ya viongozi tu Tena wale wakubwa wakubwa maana hata viongozi wa ngazi ya wilaya wilaya wapo Kama Mimi tu kwa Sasa ..hata CCM nikiiacha bado hakuna faida Nitapata

Uko sahihi kabisa. Hao ndio wenye ccm yao! Viongozi wote wa ngazi za juu na watu wao wa karibu (watoto, marafiki, vimada, nk) Wengine mliobakia mnatumikishwa tu kama magreen guard, ma uvccm, mapoliccm, nk.
 
Umejuaje kama halimi? Na sio kila mtu anataka kuwa mkulima.
Njoo kyela tulime mpunga mwanangu au tuingie deal niwe nakutumia viazi na mchele tuwe tunauza kama unajiamini kuwa mwaminifu.
 
Nadhani wewe ni miongoni wa waungaji mkono kauli za mh. Rais wetu kwamba wenye mali wataishi kama mashetani lakini mlisahau ndio walipa kodi hao, mlisherehekea watumishi kutoongezewa mishahara lakini mlisahau kuwa ndio wateja wenu sasa unadhani ni nani atanunua hizo biashara zako?
 
Wewe ni mke wake au? Mimi nimetoa mwaliko na uamuzi wake ku accept au kureject. SASA WEWE NA KIZABI ZABINA CHAKO UMEONA KAMA NIMEMKAMATA NA KUMLAZIMISHA AJE KWENYE KILIMO.
Umejuaje kama halimi? Na sio kila mtu anataka kuwa mkulima.
 
Ukiimba wimbo wa tukose wote jua na wewe unakosa wanaopata wasioimba tena wachache akili naona imekukaa sawa nilikusoma sehemu unaomba mchongo ukabebe box Nje...Mimi najua wengi mnaoimba hizo nyimbo ni njia moja ya kuwachukia waliofanikiwa..
 
Kwa nini hukumpeleka huo mwaliko wako usio na logic,wa kipuuzi na kinafki chumbani kwake kuliko kuja kutachafulia nao mjadala hapa?
Wewe ni mke wake au? Mimi nimetoa mwaliko na uamuzi wake ku accept au kureject. SASA WEWE NA KIZABI ZABINA CHAKO UMEONA KAMA NIMEMKAMATA NA KUMLAZIMISHA AJE KWENYE KILIMO.
 
Una tatizo gani? Ok ngoja niepuke huu mjadala kwa sababu isijekuwa nabishana na mtu ambae yupo kwenye siku zake.Go to hell MF
Kwa nini hukumpeleka huo mwaliko wako usio na logic,wa kipuuzi na kinafki chumbani kwake kuliko kuja kutachafulia nao mjadala hapa?
 
Umelalamika bila kutuonyesha au kueleza jitihada zako ktk utafutaji, maana unachopata ni matokeo ya kazi unayofanya, ukifanya kidogo unapata kidogo na kinyume chake
 
Unachopata sio tu matokeo ya kazi unayofanya,hali ya uchumi wa wananchi wanaokuzunguka na nchi kwa jumla inaamua kwa kiasi kikubwa utapata nini mwisho wa siku.
Umelalamika bila kutuonyesha au kueleza jitihada zako ktk utafutaji, maana unachopata ni matokeo ya kazi unayofanya, ukifanya kidogo unapata kidogo na kinyume chake
 
Mkuu naomba kwanza nikutukane,
Pili wewe ni moja ya watu waliyochangai hiyo hali uliyonayo, kwa sasa kweli watu hawana kitu.

Pia nakupongeza kama kweli umeona kuwa hata ukifanya biashara watu hawana pesa ya kununua hizo bidhaa zako, unga mkono kampeni ya jiwe out hali itabadilika (kiongozi mshamba huwa anaongoza kishamba)
 
Back
Top Bottom