Inauma sana, asikwambie mtu

Inauma sana, asikwambie mtu

cantonna

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
1,120
Reaction score
439
Demu wangu alipokuwa ananiacha aliniambia eti nina sura mbaya ndo mana ananiacha. Vipi we mwanaume mwenzangu ulivyoachwa demu wako alisema anakuacha kwa sababu gan?
 
haaaa haaaa huyo atakuwa form two A. wanaachwaga wale apeche alolo abachada.
 
Kwani we na mwenzio mna umri gani?

wenzenu wanaoana na walemavu wa miguu au wasio na uwezo wa kuona

nyinyi bado mpo kwenye sura ?

umri wenu?

ndo kigezo alichotumia kunipa kibuti!
 
demu wangu alipokuwa ananiacha aliniambia eti nina sura mbaya ndo mana ananiacha!vp we mwanaume mwenzangu ulivyoachwa demu wako alisema anakuacha kwa sababu gan??

pole nahsi umri na hali ya kiuchum ilichangia
 
Alikosa tu sababu ya msingi ya kukupa za mbavu/kibuti
 
sura mbaya ???mh..mbona mi nakuona bonge la handsome..huyo alikuwa ana yake sema alishidwa kuyasema....ila uzuri wa mtu upo machoni pa anayemtazama...
 
Wewe ndiye mwenye tatizo cantona inaoneka ulikuwa haumpi ukuni wa kutosha kitandani, navyoamini mimi mwanamke kama unapa dozi ya kutosha hata kama wewe unasura ya sokwe atakuheshimu sana na haitatokea akudharau.

demu wangu alipokuwa ananiacha aliniambia eti nina sura mbaya ndo mana ananiacha!vp we mwanaume mwenzangu ulivyoachwa demu wako alisema anakuacha kwa sababu gan??
 
demu wangu alipokuwa ananiacha aliniambia eti nina sura mbaya ndo mana ananiacha!vp we mwanaume mwenzangu ulivyoachwa demu wako alisema anakuacha kwa sababu gan??

bro kwani wakati unamtongoza ulikuwa na sura nzuri? Au mwanzoni ulikuwaga unamwendea demu gizani?
 
ina maana uhusiano wenu mlianza usiku..mkawa mnaona mida ya usiku tuu.siku alipokuona asubuh yakakukuta majanga! pole sana mkuu
 
Hicho kilikua kisingizio tuu.. utakua huna hela wewe.
 
Mi demu nikishamtafuna hata nambie nini wala huwa siangalii mara 2. Nabaki napiga mluzi tu huku nikitingisha mguu kwa mbaliiiiii wakati yeye anatoa povu lake anavyoondoka.
 
Mi demu nikishamtafuna hata nambie nini wala huwa siangalii mara 2. Nabaki napiga mluzi tu huku nikitingisha mguu kwa mbaliiiiii wakati yeye anatoa povu lake anavyoondoka.

jamani wanaume acheni kujifariji, toka lini dushulele likatafuna papuchi? Nashangaa
 
Demu wangu alipokuwa ananiacha aliniambia eti nina sura mbaya ndo mana ananiacha. Vipi we mwanaume mwenzangu ulivyoachwa demu wako alisema anakuacha kwa sababu gan?

Niliulizwa tu kwamba unanidai, nikajibu hapana, tumegombana, hapana. Nikaambiwa kama KITU ni hapana kuanzia leo mm na ww basss. Nimempata mwingine wa size yangu cwezi kuwa na ww anymore kwaheri.
Kikubwa ilikuwa ni kipato tu ndo kilinitenganisha nae but wazungu waliposema time will tel hawakukosea kuna cku nilikutana nae ckuamini na yy hakuamini macho yake zaidi ya kulia kwa uchungu
Ckuwa na jinsi nilipaki gari pembeni nikamsihi asilie na nilipomuuliza kama ananidai alinijibu tu kwamba anatamani ardhi ipasuke kwa yaliyomkuta kwa yule mwanaume wake kwa jinsi alivyomtenda.
Ni story ndefu ila mwisho nilimwambia nimekwishaoa nina mke mzuri, msomi na watoto wawili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom