jamani wanaume acheni kujifariji, toka lini dushulele likatafuna papuchi? Nashangaa
blaza unaomba kapicha....?
Demu wangu alipokuwa ananiacha aliniambia eti nina sura mbaya ndo mana ananiacha. Vipi we mwanaume mwenzangu ulivyoachwa demu wako alisema anakuacha kwa sababu gan?
Hahaha nimesmile kidogo. Sura mbaya ndo ikoje cantonna? Unaweza weka picha yako hapa?
weka picha #team picha tufaidi
blaza unaomba kapicha....?
Niliulizwa tu kwamba unanidai, nikajibu hapana, tumegombana, hapana. Nikaambiwa kama KITU ni hapana kuanzia leo mm na ww basss. Nimempata mwingine wa size yangu cwezi kuwa na ww anymore kwaheri.
Kikubwa ilikuwa ni kipato tu ndo kilinitenganisha nae but wazungu waliposema time will tel hawakukosea kuna cku nilikutana nae ckuamini na yy hakuamini macho yake zaidi ya kulia kwa uchungu
Ckuwa na jinsi nilipaki gari pembeni nikamsihi asilie na nilipomuuliza kama ananidai alinijibu tu kwamba anatamani ardhi ipasuke kwa yaliyomkuta kwa yule mwanaume wake kwa jinsi alivyomtenda.
Ni story ndefu ila mwisho nilimwambia nimekwishaoa nina mke mzuri, msomi na watoto wawili.
Mkubwa, huo ndio ukweli, mwanaume mbaya asiye na pesa! Hivi kweli mi pesa yangu inazungumza kuna atakayeona sura yangu?haaaa haaaa huyo atakuwa form two A. wanaachwaga wale apeche alolo abachada.
Alisha kuchoka na hadith zako za Abunuasi, hakieleweki kaona isiwe tabu.....
Niliulizwa tu kwamba unanidai, nikajibu hapana, tumegombana, hapana. Nikaambiwa kama KITU ni hapana kuanzia leo mm na ww basss. Nimempata mwingine wa size yangu cwezi kuwa na ww anymore kwaheri.
Kikubwa ilikuwa ni kipato tu ndo kilinitenganisha nae but wazungu waliposema time will tel hawakukosea kuna cku nilikutana nae ckuamini na yy hakuamini macho yake zaidi ya kulia kwa uchungu
Ckuwa na jinsi nilipaki gari pembeni nikamsihi asilie na nilipomuuliza kama ananidai alinijibu tu kwamba anatamani ardhi ipasuke kwa yaliyomkuta kwa yule mwanaume wake kwa jinsi alivyomtenda.
Ni story ndefu ila mwisho nilimwambia nimekwishaoa nina mke mzuri, msomi na watoto wawili.
Demu wangu alipokuwa ananiacha aliniambia eti nina sura mbaya ndo mana ananiacha. Vipi we mwanaume mwenzangu ulivyoachwa demu wako alisema anakuacha kwa sababu gan?
Demu wangu alipokuwa ananiacha aliniambia eti nina sura mbaya ndo mana ananiacha. Vipi we mwanaume mwenzangu ulivyoachwa demu wako alisema anakuacha kwa sababu gan?
Mkubwa, huo ndio ukweli,
mwanaume mbaya asiye na pesa! Hivi kweli mi pesa yangu inazungumza kuna
atakayeona sura yangu?
Binafsi sijawahi kuachwa kwa kipindi chote nilipokuwa sijaoa ila mie ndo nilikuwa napiga vibuti. Tena wengine kimya kimya tu bila hata taarifa, mtu anaachwa lakini anakuwa kama hajaachwa. Stori kama kawa lakini haaombwi mechi ng'oooooooo!!!!