Inauma sana, asikwambie mtu

Inauma sana, asikwambie mtu

Demu wangu alipokuwa ananiacha aliniambia eti nina sura mbaya ndo mana ananiacha. Vipi we mwanaume mwenzangu ulivyoachwa demu wako alisema anakuacha kwa sababu gan?

mimi huwa wananiambia "I will always Miss you Baby"
 
Inawezekana alipokuomba umtumie hela ya kununua nguo elfu 50 kasahau pochi yake ulimtumia buku 2 ili afuate
pochi ndiyo maana naye akakupiga za uso.
 
Back
Top Bottom