Inauma hivi kuwa single...


Upo vizuri... Nyumba kubwa Upo vizuri..
 
Nakusifu mleta mada umetumia lugha short and clear!! Yaani mambo ya kikubwa unatakiwa utumie lugha ya kifasihi kama hii. Nimekuelewa kabisa kila mstari. Na ninakubaliana na wewe hakuna kitu kigumu kuachana na mtu wako wa muda ambaye pia kulikuwa na some commitments. Cha msingi ni kutulia maana plan A (maharage ya mbeya) na plan B (malaya) huwa hawasitiri mahusioano kabisa!!! Kumbuka wote hao ni wafanyabiashara wa miili yao so wewe ni one of the many customers!! Cha msingi unapokuwa na endeing relationship unachotakiwa ni kuwa na subira na utafute mwingine tu na si kubandika mara plan A mara B. Tumeumbwa kuwa na wenzi iwe permanent or temporary but kinachotakiwa ni ku-focus kwenye permanent zaidi vinginevyo hao wa temporary ni kubadili kila siku kama underwear/boxer!!!!
 
bora umemwambia bana mpaka inakera kama siyo kutia kinyaa hata kuisoma, JF siyo fb dude! dah utafikiri unafanya note taking kwenye lecture bana

Very very sorry.... Won't happ'n again..
Ipo clean sasa...™
 
Khaa!!
Hii kweli Suprise!!
Mbavu sangu, lol!

Hata... Hujaona mengi yanayotisha..
Si bora huyo..
Mm je... Yaani GF wangu alikuwa hapumziki, deile 2likuwa 2nacheza nae mechi..{Blv me}
Ss huyu mpya napima kwanza speed yake... Then nifunguke..!™
 

Nashkuru kwa kunielewa...
Ila upo vizuri... Nimekuelewa pia..™
 
Hata... Hujaona mengi yanayotisha..
Si bora huyo..
Mm je... Yaani GF wangu alikuwa hapumziki, deile 2likuwa 2nacheza nae mechi..{Blv me}
Ss huyu mpya napima kwanza speed yake... Then nifunguke..!™
Wewe ni Nabii halafu unafanya ufuska/uasherati/uzinzi kila siku na tena huoni aibu kujitangaza hapa? Dah! Ama kweli Dunia hadaa Ulimwengu shujaa!
 
Kitu chochote kama hauja hamua kutoka moyoni lazima kikusumbue, kam hauko radhi kuwa single utaendelea kuteseka!

Alaf jaribu kuandika vizuri!
 
Jitume na kutafuta maisha yako kwanza ayo mambo ya kuwa singo au commited, ni matokeo tu!
 
Khaa!!
Hii kweli Suprise!!
Mbavu sangu, lol!

sasa unashangaa nini , maisha yenyewe yapo wapi kujifanya mgumu ndio maana natafuta changu nitulizane vinginevyo ntakguka bucha bure,ya nini kujitia ukiwa na binadam kaumbiwa mapenzi
 
hahaha umenifurahisha haswa, na huyo wa mbele unaemvuta akiwa kimeo, unambwaga unavuta nyingine, oohh yeah, life is too short!

yap nyamayao bt once i give u a chance nakua comited kwelikweli hadi unizingue natafuta kwengine , swala la kukaa lonely halipo............................
 
Ni kweli ndugu yangu..!! Sidhani kama kuna binadamu anafurahia maisha ya upweke!!

Ila kuna mahusiano mengine yanatesa unaona ni afadhali uwe single ujue moja kuliko hayo mateso..!!

Na sidhani unapoamua kuwa single kwa sababu umeachana na mpenzi wako ndio sababu ya kukufanya uanze umalaya..!!

Umalaya ni tabia ya mtu....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…