Inatuhusu Sote

Inatuhusu Sote

Status
Not open for further replies.

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,934
Reaction score
46,294
budha.jpg

Waandamanaji wa Kibudha wakiwa wamebeba ujumbe muhimu unaotuhusu sote.
Tusijione wenye haki hapa duniani kuliko wengine.
Dunia ni yetu sote na siyo ya watu fulani tu.
Tuheshimiane ili wote tuishi kwa amani
 
nimeipenda, subiri waje wenyewe waiponde.
 
nimeipenda, subiri waje wenyewe waiponde.
Oh great,
haki na heshima ipo na kwa kila aliye hai hata aliyekufa; mbona mupo OFFENSIVE wakuu hapa usidhani nina teta side ila naelewa matatizo yaliyopo ndugu KINYUNGU na Miss awp naona hamjaelewa risala hiyo hao wandugu wa imani ya kibhudhi, Hawa wataki waislaamu KuWORLD yaani ondokeni sijui waislm. waende wapi? Lakini The said Muslems wanaAmini na kusema hapa Duniyani wao ni wapita njia tu. So don't STOP them passing from East going to WEST or from SOUTH going up To NORTH au vipi hapo? Nina hisia kuwa Waislm wanakanyaga kwenye mgongo wa ardhi kama ni TRANSIT terminol kueleka huko mbele. hapo waku sioni noma. wacheni wapite na wengine mkae mulipopapenda. "No sweat" always heshima na ujirani utakuwepo bila bughudhaa.
No need kukebeihi au kuhofia.
 
nimeipenda kwakweli acha waje tutakomaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom