Mimi mpaka sasa nikilala usiku huwa naweweseka maana siamini ETI WAZIRI MKUU WA NCHI NI MWIZI?!!!!TENA MKUBWA?!!!!
Sasa naanza kuamini kuwa kuna watu tena Watanzania ambao walishiriki kikamilifu kumpeleka nyerere kaburini il wapate mwanya wa kuiba yaani ETI HATA RAIS WETU MSTAAFU ALIKUWA MWIZI MKUBWA NA NDIYO MAANA AKINA ZOMBE NA WENGINE, WAO WALIAMUA KUIBA KWA MTUTU WA BUNDUKI KABISA!!! MAANA SASA WANGEMUOGOPA NANI KAMA BABA YAO MKUBWA KABISA NI MWIZI NAMBA MOJA
Mimi Niliamini Ya Kuwa Urais Ni Heshima Kumbe Nilikuwa Najidanganya!!!
Yaani Raisi Mstaafu Alikuwa Mwizi.!!!yaani Alifanya Ujambazi Wa Kutisha Ikulu?mbona Nilifundishwa Zamani Ya Kuwa Ikulu Ni Mahala Patakatifu Au Nilidanganywa Ina Maana Machozi Yote Aliyoyatoa Alipokufa Nyerere Yalikuwa Ya Kinafiki?!!sasa Mungu Akae Tanzania Akisubiri Nini?
Muoneni Karamagi, Japokuwa Yeye Anahisi Yuko Salama,amini Nawaambia, Kwa Kuwa Alitenda Dhambi Kwa Uma Wa Watanzania, Basi Adhabu Yake Ni Kubwa Kuliko Jambazi Aliyeua Mtu Mmoja Na Ni Lazima Ataishuhudia Kabla Ya Kuiaga Dunia Hii
Nadhani watu wengine hawakumbuki tulianzia wapi....
Mimi Ni Mzaliwa Monduli Na Kabila Langu Ni Mmasai Kwa Kweli Aibu Aliyotutia Ndugu Yetu Lowasa Haijapata Kutokea Tangu Kuumbwa Kwa Kabila Hili La Kimasai. Hivi Mimi Mwenyewe Ninovyojisikia Moyoni Mwangu Anayejua Ni Mungu Wakati Mwingine Najisikia Kama Vile Mimi Ndiye Niliyefanya Kitendo Hicho Cha Aibu Ya Milenia Kwa Kabila Hili Lenye Sifa Ya Uaminifu Tangu Mababu, Wakati Mwingine Najiuliza Hizo Pesa Alikuwa Anataka Kupeleka Wapi Tena? Maana Kama Ni Utajiri Alikuwa Nao Wa Kutosha.ole Wako Siku Ukitia Mguu Monduli Tutakuvizia Hata Kwa Zana Za Jadi Hatuwezi Kukubali Kukaa Na Hii Fedheha Tulitarajia Utuletee Sifa Kama Ndugu Yetu Sokoine Badala Yake Umetuvua Nguo Au Unajifanya Hujui Kuwa Ktk Makabila Yote Ya Tanzania Hili Letu Ndilo Linalojulikana Duniani Kuliko Mengine, Kwa Kweli Ni Lazima Utueleze Huo Wizi Ni Nani Alikufundisha Na Kama Ni Asili Ya Kizazi Chenu Basi Tukiteketeze Maana Hatuhitaji Vilema Umasaini