Inatokea Tanzania tu

Tulia wewe kama unanyolewa na kiwembe.....kila mtu na ashinde mechi zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...mwanzo nilijua ni bahati mbaya. watarekebisha Kumbe!. ina maana simba ana viporo kama tisa na ushee?? kisa?? anacheza caf!. Man city Licha ya utitiri wa mechi alizocheza msimu huu kuanzia carabao fa Cup. UEFA pia ila yeye na mpinzani wake wa karibu Liverpool ambaye yuko UEFA tuu wote wana mechi sawa! achilia mbali timu zote epl wana mechi sawa!.
tumeyataka wenyewe. kupanga ni kuchagua!!
 
Ndo Bongo lala mkuu
 
Yanga mchecheto


Jr
 
Samahan mkuu uliona ligi gani timu moja ikacheza nymbn tu mechi 11 na kwavile mlikuwa mnashinda hamkuja humu kulalamika kuwa kwa.nini tupangiwe nymbn.tu mmeona sasa jahazi.lenda mrama wewe na kocha wako hamuishi.kulalama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man City kacheza mechi moja zaidi kuliko timu 18 nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…