Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,410
- 36,560
Bongo Yetu: wakati Mwadui, Ruvu Shooting na Stendi wamebakiza mechi 10 tu kumaliza msimu Simba SC imebakiza mechi 21!!!!
Angekuwa Yanga ndo anaviporo ivyo,Hajji angekuwa anaongea zaidi ya Kasuku,ila saiz kimyaa kabisa na utasikia baadhi ya malimbukeni wanasema sisi ni Watu wa mpira.
Bongo tunasafari ndefu sana
Angekuwa Yanga ndo anaviporo ivyo,Hajji angekuwa anaongea zaidi ya Kasuku,ila saiz kimyaa kabisa na utasikia baadhi ya malimbukeni wanasema sisi ni Watu wa mpira.
Bongo tunasafari ndefu sana