pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 97
Mungu asaidie mwamko wa namna hii uenee nchi nzima
HII MAMBO inatokea Tanzania??
Ukifika Kyela upload kwenye zile komputa za Mwakalinga alizoahidi nafikiri zitakuwa tayari zimeshafika.Nimenunua laptop nitatembelea vijiji vingi kule kyela nikawaonyeshe ujasiri wa wanatarime muone moto utakaowaka huko.Nitakuwa nawapa update kila mara.