Kuna kijana moja ambae kusema kweli anaumwa upande wa usoni, mdomoni cjui km mdomo wake unafunga akika huyo kijana anaomba msaada maeneo ya Ubungo mataa na cyo kwamba ameanza leo nakumbuka mwaka 2008 niliwai kumwona maeneo ya Karume karibu na shule ya Uhuru mchanganyiko akiwa anaomba kwa style yake ile ile ninaoiona sasa ivi na si kwamba anafanya as asource of income la hasha huyu mtu anaitaji msaada ni vizuri akasaidiwa kwa wale wa ubungo watakua wanampata huyu kijana kumbukeni kutoa ni moyo ujumbe huu ukufikie mbunge wa ubungo msaidie huyu kijana anatia huruma na huzuni nawasilisha kama raia mwema cjashawishiwa na mtu kuandika thread hii ila mimi mwenyewe