inataka mazoea jamani.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

inataka mazoea jamani..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by nilkarish, Jun 27, 2012.

 1. nilkarish

  nilkarish Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KUVUA22.jpg
  jamani viatu virefu mukinunua vifanyieni mazoezi nyumbani kwanza. vivae ndani km 3dayz.. ukitoka navo mtoko visikushinde
   
 2. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  We unaacha kushughulikia mambo yako kazi kuwaangalia wananihii wetu miguuni, ebo??
   
 3. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Me nilijua tangu tunaingia Hyyat,Kilimanjaro.
  watu tulijikoki na Skonkonko.
  Mida ya dance,
  thubutuuu...!!!
  Mbona tulivua wenyewe,
  chezea Kwaito na Kiduku wewe.....!!!
   
 4. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hata ukifanya mazoezi there comes a time utavua tu. Vinahitaji short walk na ukae sio kwa disko, lol.
   
 5. nilkarish

  nilkarish Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KUVAA.jpg na wengine walijibebea viatu vya ziada kwenye pochii,, akaa bibi shida ya nini!!:sing: kutoka jasho bure.. piga flat yako kw raha zakoo
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  shida yote ya nini? Watatoka vigimbi bure!
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: kuna mdada mmoja hapo vidole vyake vya miguuni vibaya asiwe kabisa anavua viatu
   
Loading...