Inatafutwa seriously relationship....

marigy

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
341
500
Kama title inavojieleza, natafuta mtu atakae kuwa serious kene mahusiano nami ntapatia Yale mapenzi ya dhati kabisa....

Wasifu wangu........
Chuo mwaka wa pili
Mrefu futi 5.8,umri miaka 24
Maji ya kunde
Mwembamba wastani ,

Anaetafutwa
Awe na ya dhati mapenzi ,umri kuanzia miaka 18 up to 22 ,sura haizingatiw Sana, wala shep haizingatiw Sana ila awe na nyama nyama nyingi kidogo ya wastani tu.

Alie tayari aje pm ntamtumia na picha zangu pia... Nipo daresalam .......
 
Jiwedogo

JF-Expert Member
May 23, 2017
2,820
2,000

Subiri wanaume waje wakuchumbie, maana kwa muandiko huu inaelekea una kila sifa za kuitwa mama mwenye nyumba....
 
Mwandiko upi mkuu? Lkn any way hawezi kosa mtu Kama wewe kati ya members wote.... No Kama changamoto nimeipokea lkn ili tu usinitoe kene reli ngoja tu nkushukuru kwa mchango wako
 
Jiwedogo

JF-Expert Member
May 23, 2017
2,820
2,000
Mwandiko upi mkuu? Lkn any way hawezi kosa mtu Kama wewe kati ya members wote.... No Kama changamoto nimeipokea lkn ili tu usinitoe kene reli ngoja tu nkushukuru kwa mchango wako
Kwani nimekosea wapi..
Kwani kukusifia kama mama mrembo, nimekosea mkuu wangu...
 
marigy

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
341
500
seriously relationship we ya nini sasa?hiyo si imeshakamilika
Ipi iliyo kamilika mkuu? Kwan kuna sehem nimesema nipo Ken relationship na mtu hapo kene maelezo yangu? Any way relationship ndio tena closer relationship....!
 
marigy

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
341
500
Kwani nimekosea wapi..
Kwani kukusifia kama mama mrembo, nimekosea mkuu wangu...
Umekosea ndio sababu Mimi jinsia ya kiume.. Sasa huko unakoenda du.... Any way lkn mi pia sijazoea kutukana tena na mtu ambay simfahamu...... So thanks to all you are doing in this thread.... Am being humble my self and waiting for positive reply.....
 
Jiwedogo

JF-Expert Member
May 23, 2017
2,820
2,000
Umekosea ndio sababu Mimi jinsia ya kiume.. Sasa huko unakoenda du.... Any way lkn mi pia sijazoea kutukana tena na mtu ambay simfahamu...... So thanks to all you are doing in this thread.... Am being humble my self and waiting for positive reply.....
Samahani sana mkuu, sikua nimeitambua jinsia yako tafadhali.

Niwie radhi mkuu.... naomba unisamehe bure kabisa.....
 
babumapunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
4,636
2,000
Kama title inavojieleza, natafuta mtu atakae kuwa serious kene mahusiano nami ntapatia Yale mapenzi ya dhati kabisa....

Wasifu wangu........
Chuo mwaka wa pili
Mrefu futi 5.8,umri miaka 24
Maji ya kunde
Mwembamba wastani ,

Anaetafutwa
Awe na ya dhati mapenzi ,umri kuanzia miaka 18 up to 22 ,sura haizingatiw Sana, wala shep haizingatiw Sana ila awe na nyama nyama nyingi kidogo ya wastani tu.

Alie tayari aje pm ntamtumia na picha zangu pia... Nipo daresalam .......
wewe ni ke au me
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
27,886
2,000
Baada ya kuwa unserious kwenye mahusiano kwa miaka mingi na kuwatesa wengi sasa hivi unataka seriously relationship!!.......Mungu anakuona!!.....you won't make it,believe me!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom