Inasikitisha wanaume bado wanaendelea na ubakaji. Kwanini...?

Inasikitisha wanaume bado wanaendelea na ubakaji. Kwanini...?

John Walter

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
68
Reaction score
63
JOHN WALTER BABATI
Mtoto wa Darasa la kwanza [jina nalihifadhi] mwenye umri wa miaka nane (8) mwanafunzi wa shule ya Msingi Maganjwa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Babati amefanyiwa kitendo cha ubakaji akiwa anaenda mashine kusaga unga wa ugali hali iliyomsababishia maumivu makali na kuwalazimu madaktari kumfanyia upasuaji.
 
Huyo na yeye wamtie dudu kwa nyuma aone inavyouma kuvunjwa bikra shenzi kabisa
 
Ninaweza kuua mtu kwa mikono yangu mtu akimfanyia hivyo mwanangu aisee.
 
je, ni nyege? kuwatamani? masharti ya waganga njaa? kupungukiwa akili? udomo zege? jamani mbona hata madada poa wapo wa buku jero? dah! inatia hasira sana kwa sisi wenye familia. hawa dawa yao kukata hivyo vibakio tu na kuwahasi kabisa
 
Back
Top Bottom