Aise mpira noma salamu za dada tausi2 anazisubiri mkuuJana wenzio walisema hivyo hvyo kwa Baya..n
Jana ilikuwa Real Madrid na Karume Rangers
Chelsea mziki mkubwa,kesho nitakupa salam
Jana wenzio walisema hivyo hvyo kwa Baya..n

ni jinsi morinyo mzee wa kupaki basi atakapotolewa kwenye UCL leo,..japo yupo nyumbani kwake
kesho imeshafika, tunaomba salamu zetu kupitia muziki mkubwa.
ni jinsi morinyo mzee wa kupaki basi atakapotolewa kwenye UCL leo,..japo yupo nyumbani kwake
vp wakuuu morinho vp ? msako wa mamba umemkuta kenge
Nini kinaendelea hapa?
shosti kanena kweli ni noma sana ntuzu mpka kesho ndo tutaonana nae..Nini kinaendelea hapa?
Jana wenzio walisema hivyo hvyo kwa Baya..n
Jana ilikuwa Real Madrid na Karume Rangers
Chelsea mziki mkubwa,kesho nitakupa salam
ni jinsi morinyo mzee wa kupaki basi atakapotolewa kwenye UCL leo,..japo yupo nyumbani kwake
shosti kanena kweli ni noma sana ntuzu mpka kesho ndo tutaonana nae..
Hebu fungua kanisa ujiite nabii ule hela kirahisi...
Ata huku natafutwa?
Mi ni shabiki Wa ukweli na siwezi kujificha eti Kwasababu ya kufungwa! Mbona hiyo ni kawaida ya mpira!
Kweli mkuu, hata mi nimekutetea hapo juu ngoja niku-cc upitie utetezi wangu