<!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->Mathayo Chapter 21 42. Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni; Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu?
43. Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake. ( Taifa la Kiaarabu ndilo alilolitabiri Bwana Yesu Taifa lenye kuzaaa Matunda yake Wayahudi hawakumuamini bwana Yesu Mungu awapa waarabu Taifa la wenye kuzaaa Matunda)
[FONT=Trebuchet MS, Arial, Helvetica]
kwa hiyo kumbe waarabu ni wakristo na uislam ni dhehebu ndani ya ukristo?kama wayahudi hawakumwamini na waarabu wakamwamini ndio wamekuwa wafuasi wake na ndi o aliotaka wabatizwe kwa jina la baba na mwana na roho mtakatifu. bwan yesu asifiwe sana shehe wangu.nikukumbushe vilevile imeandikwa hapohapo kuwa ila kinywa kitakiri yesu ni bwana.peleka ujumbe huu msikitini.[/FONT]