Inasikitisha na kushangaza, child labour.

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
216319_220392291308303_100000126027936_1015403_6906897_n.jpg
 
Inasikitisha ni kweli, kushangaza mmmh hapana, sio kwa TZA (au Afrika kwa ujumla)
 
Mimi nashauri jamii tuwe na utaratibu wa kusomesha watoto kama hawa yaani(adopting) wakati tukiendelea kuelimisha umma kuiondoa ccm 2015 ambayo imeleta adha hizi kwa watoto wetu
 
huyo jamaa hapo nyuma analamba chozi la simba...teheteheteeee anaipigia tathmini itakavomtenda.......
 
Kijana anaonekana si wa shida sana. Unajuaje kama hafanyi hiyo biashara baada ya shule au wakati wa likizo? Zamani tulikuwa tunawasaidia wazazi wetu shambani na bado wanafanya hivyo huko vijijini. Ilitutayarisha kwa ajili ya maisha ya kijijini. Tulijifunza kilimo, uvuvi, n.k. Huyo kijana anaweza kuja kuwa mjasiriyamali mzuri sana baadaye. Mimi nadhani hizi concepts kama child labour tuziangalie katika mazingira yetu badala ku-parrot yale tunayolishwa na wazungu. Mtoto wa kizungu akifua nguo zake inaweza kuwa child labour kwa sababu kwao kuna washing machine. Je wa kwako hutamfundisha kufua nguo zake kwa kuhofia label ya child labour? Washing machine unayo au uliishaiona?
 
Back
Top Bottom