Inasikitisha James Kisaka

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Kocha wa Magolikipa SSC na mwanasoka mstaafu aliyehudumu kama golikipa wa timu kadhaa hapa nchini James Kisaka anahitaji msaada. Nimeona kwenye STAR TV anasumbuliwa na macho hawezi kuona anaeleza kuwa anasumbuliwa na fangasi ya mishipa ya kichwa..wadau wa soka hasa wapenzi wa Simba tumsaidie nwenzetu..hali si njema kwake.
 

Attachments

  • CAM01836.jpg
    CAM01836.jpg
    540.2 KB · Views: 59

Similar Discussions

Back
Top Bottom