Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
- Thread starter
- #41
Acha ubwege hakuna mtu alokuwa juu ya sheria na hao wajeda mimi tayari nimeshamvunja taya moja juzi kati na nikamwambia hakuna cha mjeshi wala nini sote mahakama ni moja tu na alipo kwenda kuwachukua wezake na mimi nikenda kuchukua makamanda wangu polis wakaingilia kati heshima ikakuwepo kwenye kitaa
hapa ----- mimi au wewe?
maelezo mengi no mashiko fyuuuuu!!