Inasikitisha,ila ndio yashatokea!!

Inasikitisha,ila ndio yashatokea!!

hapo ndo sehemu ya ngo za kutetea haki za binadamu kufanya kazi yake.
Sio kufuatilia ishu za kimbea za kuwapa umaarufu na kuacha mambo ya msingi kama haya. Hawa jamaa wengi ni wajinga kuliko wanavyo jijua, huwa wanajiona ukishakuwa mjeda ndio kila kitu.
Wananiboa sana, unaringia ujeda halafu unalala nyumba ya mabati kama kiota, badala ya kujenga maisha yako unaiendekeza sifa za kijinga.
Matokeo yake unastaafu hata pakulala huna, unasubiri penshen ukajenge.
 

ni wakazi wa hapa mtaani
na wale wote waliowakamata wamewachukulia
fedha zao,yani hawana tofauti na wezi,eti wanajeshi khaaa!!
 
mtaa mzima mkashindwa kumwadabisha huyo mjeshi?
hakuna mwenye mawe fito,komboleo nk?
hauna shria inayomruhusu kupiga au kuuwa
lakini kama kaamua kujichukulia sheria mkononi na ili asilete madhara zaidi mnamnyamazisha kwanza yeye
iweje kibaka wa kuku auliwe wakati mjeshi anaepiga wananchi mnamwacha hai???????
agrr angekuwa mtaa wetu ansingeiona kesho.
 

yah ni kweli,mashirika ya kutetea
haki za binadamu yanapaswa kufwatilia hili
na police ni kwamba wanawaogopa hawa watu
au ni vp?
 
hivi wanasomaga mpaka darasa la ngapi hawa?

mi nadhani wengi wanapata
nafasi ya jeshi kiundugulization
mtu mwny elimu hawezi fanya huu upuuzi
kisa pc ya laki saba ?shame on them!!
 
Hii inaonyesha how unproffessional TPDF is. badala ya kuwalinda wananchi dhidi ya maadui hawa aanawapiga raia. hata mbinu za kumkamata mhalifu hawajui. ndio maana wakienda front line hua wengi wanarudi kwenye mabox. kazi ya kumpiga binadamu mwenye silaha hawana taaluma nayo.
 
Wanajeshi wana tabia za ajabu sana,issue za kijinga kabisa wanaitana na kufunga mtaa! Wanalazimisha heshima na kunyenyekewa mitaani


wafanye kazi wawe na hela
wataheshimika,wasilazimishe heshima
wakati wao wenyewe hawajiheshimu!!
 
Hii inaonyesha how unproffessional TPDF is. badala ya kuwalinda wananchi dhidi ya maadui hawa aanawapiga raia. hata mbinu za kumkamata mhalifu hawajui. ndio maana wakienda front line hua wengi wanarudi kwenye mabox. kazi ya kumpiga binadamu mwenye silaha hawana taaluma nayo.

utaalamu wautoe wapi S.T.D 7 hawa
wakapigane vita huko na si kupiga wananchi
wasio na hatia!!
 
Ni ujeuri tu wanafanya hakuna sheria inawaruhusu kufanya fujo!
 


wafanye kazi wawe na hela
wataheshimika,wasilazimishe heshima
wakati wao wenyewe hawajiheshimu!!

Na kazi za kufanya huko kwenye kambi zao hawana ndio maana wanajipa kazi za ajabu ajabu mitaani ziwa keep busy!
 
vibaka wote mtaani mnawajua lakini mnawalinda sababu ni mtoto wa jirani yako,watu tushaibiwa sana sasa tumechoka,wapigwe tu.

hovyo kweli wewe
si wangetumia mbinu mbadala
wampate mwny laptop?wanaua raia wasio na hatia
ilhali alieiba anakula maisha?nyooo tena unyamaze!!

 

yani kama saa hizi wanagonga nyumba za watu
akutwe baba au kijana ni kipigo,kwny nyumba
za wenye chamoto hawagusi,ni kwa wale wananchi wa chini
ndio wanathubutu!!
 
Acha ubwege hakuna mtu alokuwa juu ya sheria na hao wajeda mimi tayari nimeshamvunja taya moja juzi kati na nikamwambia hakuna cha mjeshi wala nini sote mahakama ni moja tu na alipo kwenda kuwachukua wezake na mimi nikenda kuchukua makamanda wangu polis wakaingilia kati heshima ikakuwepo kwenye kitaa
 
Kumbe passion lady uko jirani kabisa,hii in hatari nasikia iyo laptop ni ya mkubwa wa jeshi af pia ilikuwa an data nyeti za kuhusu jeshi..Mbinu wanazotumia sio kabisa bora angetangaza zawadi kwa atakayefanikisha kupatikana kwake cz hicho kipigo wanachotembeza kwa watu ndio wanazidi kutengeneza chuki.
 
mbona majangaa,. Mtaa gani huo mnakaa na Wana-Jeshi bibie Passion Lady!!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe passion lady uko jirani kabisa,hii in hatari nasikia iyo laptop ni ya mkubwa wa jeshi af pia ilikuwa an data nyeti za kuhusu jeshi..Mbinu wanazotumia sio kabisa bora angetangaza zawadi kwa atakayefanikisha kupatikana kwake cz hicho kipigo wanachotembeza kwa watu ndio wanazidi kutengeneza chuki.

yni ni wajinga,na laptop
hawatoipata kwa styl hii
wameharibu,wangejenga urafiki
na wananchi wangefanikiwa,huo ubabe wao ndio
umezidi kupoteza,na watu watawaogopa hata kama
wanajua hawatasema!!hawana mbinu kabisa,wanakera tu!!
 
Back
Top Bottom