Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
laptop??Tuu.
Pl hawa wanataka kudhihirisha kwenye jamii kuwa mjde haibiwi.
Inasikitisha kwa kweli kama ile iliyotokea mbezi beach dereva bajaj na maafande.
Hakuna nchi yenye kuruhusu Judgement style hiyo!
Kwa nchi iliyovaa kikoi-mlege kama hii , tukio kama hilo laweza pita asi adabishwe mtu.
Hakuna aliye juu ya sheria. mpigieni anayehusika na masuala ya watu kama hao mwambieni. mwenye namba anaweza kukupa
habarini wana jf
mi mwenzenu kuna kitu kimenikwaza na kimeniumiza sana
mtaani kwetu kuna mwanajeshi kaibiwa laptop,leo siku ya tano
wanapiga watu hovyo,kijana akikutwa barabarani ni kipigo
inasemekana kuna kijana amepigwa baada ya hapo wakampeleka
kituo cha police bahati mbaya amekufa,hajulikani ni wa wapi maana
walimkamata akiwa barabarani na shughuli zake
-hivi ukishakua mwanajeshi unaruhusa ya kupiga
mpaka kuua?sheria inawaruhusu hawa watu kunyaynyasa watu
kiasi hiki?halafu mbaya zaidi wanaenda zile nyumba ambazo ni
za watu wa kawaida sana,wenye mageti yetu hawathubutu,si uonevu huo?
sio siri imeniumiza sana,kama sheria za jeshi zinaruhusu hali hii,nimechoka!!
wanajeshi mtujuze kama sheria inawaruhusu kugeuza mtaa darfur kisa laptop
kaibiwa c ni uzembe wake?mfyuuuuuuuuu hamna haya!!
my akanana Passion Lady usijali leo hawafanyi tena.
lakini nahisi hapo kuna mkono wa Lady doctor na Arushaone.
je akikufumania unamla mkewe si ndio patakuwa hapatoshi hapo kitaani? ni uonevu usio na mpango.mtu mwenyewe zoba halafu usiibiwe kisa wewe ni mjeshi.
Nalog off
ushamba ndio unawaponza hawa jamaa wanajiona wakiwa wanajeshi basi ndio kila kitu.
hawa jamaa ni mafala tu
siwapendi basi tu!!
yani unyama wanaofanyia watu munguushamba ndio unawaponza hawa jamaa wanajiona wakiwa wanajeshi basi ndio kila kitu.
Nalog off
laptop tu tena katoka kaacha mlango wazi
wajanja wakapitia,ni uonevu wa hatari jamani
natamani ningejua sheria zao zinasemaje!!
Hakuna aliye juu ya sheria. mpigieni anayehusika na masuala ya watu kama hao mwambieni. mwenye namba anaweza kukupa.