Inashangaza sana

Nyie wote hivi,waalim wenu wa somo la kiswahili sijui kama mliwaelewa.
Hasa katika kipengele cha kusoma story kisha unaambiwa andika kichwa cha habari cha story husika.

Msigombane,wote mnapigia debe kitu kimoja
 
Kila mtu yuko kivyake mkuu na ndiyo maana tunagombana.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…