Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,457
- 11,334
Aisee mkuu hata Mimi nimewaza Hivyo ila inashangaza itakuaje aruhusu huku bara wakati huko kwao walipiga marufuku Ina maana wanatuchezea akili au sio?Ukihoji utaambiwa usiwasumbue wawekezaji kutoka india hii nchi bana
Na anayesema tusisumbue wawekezaji huenda anakula kupitia mrija huoAisee mkuu hata Mimi nimewaza Hivyo ila inashangaza itakuaje aruhusu huku bara wakati huko kwao walipiga marufuku Ina maana wanatuchezea akili au sio?
Iko wapi?Wana JF wote nawasalimia,
Natumaini mpo powa.
Husika na kichwa Cha habari hapo juu,Leo nimeona mahali mifuko ya plastic maarufu Kama Rambo inatumika Kama vifungashio,
Sasa wakuu nimejaribu kumuuliza aliyeubeba akananimbia waliruhusu Toka mwezi wa nne
Ila Mimi binafsi sikuona tangazo la kuiruhisu mbaka napata hofu labda Kuna watu wanaamua kuihujumu Serikali,
Mifuko ya plastic maarufu Kama Rambo inasababisha uharibifu mkubwa wa mazingira sie wenyewe ni mashahidi wa Hilo tokea ilipopigwa marufuku huku bara kumekua na ahueni kwenye majiji makubwa kama
Dar Es Salaam maana uchafuzi ulikua wa kiwango kikubwa Sana ila baada ya kupigwa marufuku ahueni tumeiona,
Sasa nauliza hiyo taarifa ya kurudishwa ni ya ukweli au Kama Bado nipo kizani!
Anyway picha Sina ya hizo mifuko mtajazia wenyewe mkipata!
The terrible!
Me nadhani irudi tu, maana unaenda dukani kununua bidhaa ya jero but unaambiwa mfuko 200. Tangu nimezaliwa nimeikuta ile mifuko hadi nimekuwa mtu mzima sijaona madhara yoyote. Kuhusu uchafu dsm hata wangeleta nini bado dsm ni chafu sababu ya nature ya watu wenyewe. Wengi wachafu.

mkuu nimesema nimeona mtu kabebea sukari nikashangaa ndio nikamuuliza amewezaje kubeba na kupeta nayo kanambia imeruhusiwa Toka mwezi wa nne Sasa ndio nikashangaa na kuja kuuliza huku Kama wenzangu mlisikia tangazo ya kuiruhusu!Iko wapi?
hahaaahaa huyu jamaa kweli bwege Sana yaani et iruhusiwe tu visababu anavyotoa hata mtoto wa shule ya msingi kishumundu 'A' atamuona chenga!Ulimwengu wa Plastiki au Dunia ya watu
Ulimwengu Wa Plastiki Au Dunia Ya Watu. Waziri Wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira Mheshimiwa January Makamba aliwai kusema “Ndugu zangu sina budi kuwa kumbusha kuwa siku hizi kuna Wakimbizi wa Mazingira, watu wanaharibu mazingira katika maeneo yao na kuhamia maeneo...www.jamiiforums.com
Hujielewi mkuu, trust me!Me nadhani irudi tu, maana unaenda dukani kununua bidhaa ya jero but unaambiwa mfuko 200. Tangu nimezaliwa nimeikuta ile mifuko hadi nimekuwa mtu mzima sijaona madhara yoyote. Kuhusu uchafu dsm hata wangeleta nini bado dsm ni chafu sababu ya nature ya watu wenyewe. Wengi wachafu.
How can I trust you while I dont know you?Hujielewi mkuu, trust me!
Me nadhani irudi tu, maana unaenda dukani kununua bidhaa ya jero but unaambiwa mfuko 200. Tangu nimezaliwa nimeikuta ile mifuko hadi nimekuwa mtu mzima sijaona madhara yoyote. Kuhusu uchafu dsm hata wangeleta nini bado dsm ni chafu sababu ya nature ya watu wenyewe. Wengi wachafu.
Ulimwengu wa Plastiki au Dunia ya watu
Ulimwengu Wa Plastiki Au Dunia Ya Watu. Waziri Wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira Mheshimiwa January Makamba aliwai kusema “Ndugu zangu sina budi kuwa kumbusha kuwa siku hizi kuna Wakimbizi wa Mazingira, watu wanaharibu mazingira katika maeneo yao na kuhamia maeneo...www.jamiiforums.com
Mkuu, Acha roho ya Bibi yako...Acha watu wapige pesa
Mkuu wewe umeyaona? Mimi nimeona baada ya mifuko kupotea.Hujaona madhara ya mifuko ya plastic? Ujinga unatumaliza watanzania
Naona umepata kibarua Cha kuchakata Rambo na umeajiriwa na mhindi Kwa malipo ya buku jero Kwa sikuMkuu, Acha roho ya Bibi yako...Acha watu wapige pesa