Mhimili uliojichimbia
Senior Member
- Jul 2, 2017
- 192
- 235
Wanaume katika ishu hii ni very complex anaweza oa msambwanda mweupe akatamani msambwanda mweusi akachepuka au vice versa au akatamani flat akachepuka...kwa wanaume hyo kitu ni kama chakula tu, hata friji likijaa kuku bado utatamani dagaa siku nyingine.Mfikirie na furaha ya nafsi zenu tabia mtanyooshana, sio mnajifanya tabia tabia mkioa hiyo miche yenu ya sabuni mnaifungia ndani sasa kama makochi, mnaanza kusumbua wake za wenzenu, wakati wenzenu wanajilipua kuchagua wenye wowowo nyie si mlichagua tabia....muache usumbufu!!!!!
Kikubwa ni kujitambua, kumuheshimu mwenza na hofu ya dhambi