Inashangaza, ila nadhani kuna siri imefichika

Inashangaza, ila nadhani kuna siri imefichika

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Wasalaam Jf

Wanaume wengi hupenda sana wanawake wazuri na warembo. Kibongobongo uzuri wa demu ni yule mwenye mswambanda, wezere, kichuguu ....

Cha kustaajabisha ukifika wakati wa kuoa hutaamini wanachoamua kufanya. Utakuta mtu kaoa demu kama kapigwa pasi nyuma, mbele haelewiki nyuma ndo basii kabisa. Hakuna design inamfit.

Akimzalisha tu, hataki tena hata kuongozana nae kwenye outing events.

Shida hizi zote za nini?

Kwani huwa mnalazimishwa kuoa?

Au ukifika wakati wa kuoa huwa mnafungwa macho na mkioa tu mnafunguliwa?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kuoa ,ukiona dem mwenye tabia nzuri huko mtaani kwenu nistue....Maana naona mademu waliobaki ni wenye makalio makubwa tu lakini Tabia hazipo....
Teh teh teh ...Naskia madem wenye makalio makubwa wanajiamini kuliko wenye degree.
 
Back
Top Bottom